Nimenenepa isivyo kawaida

nenda hospitali haraka
 
Chooni kwa kupima tu haraka haraka najisaidia kinyesi kilo kasoro kwa mkupuo. Kama nikiwa kijijini basi natumia maji ndoo kubwa iliyojaa kukamilisha shughuli nzima.[emoji23]
 
Tupe ratiba yako ya msosi.pengine tunaweza anzia hapo.
Asubuhi ni maziwa fresh lita mbili na bites kama wala, nyama nk mchana ni ugali au wali samaki, vegs nk jioni ni maziwa lita moja unusu na bites kidogo kisha nalala.bila kusahau matunda kwenye kila mlo
 
litutumbwe
Kwanza jina lako linaakisi maumbile yako[emoji848][emoji2827]
Fanya haya
1. Asubuhi kunywa lita ya maji yenye mchanganyiko wa ndimu na asali.. Usile chochote tena
2. SAA nne pata chochote kisicho na wanga
3. Mchana kula ushibe
4. Jioni pata juice fresh
5. Usiku kula matunda na salad tuu
 
Haya sasa TeTema... ooh mama Tetema... TIPWATIPWA tetema ooh mama tetemah.

Nikuulize: Unapolikusanya tumbo hua hujihisi maumivu yeyote? Halafu kumuwekea mzigo wa tumbo mwenzio kwenye kifua chake utakua unamkata stimu sana mwenzi wako.!
 
Huu mlo ni wa yeyote au ni yule tu aliye na uzito kupitiliza?
 
Haya sasa TeTema... ooh mama Tetema... TIPWATIPWA tetema ooh mama tetemah.

Nikuulize: Unapolikusanya tumbo hua hujihisi maumivu yeyote? Halafu kumuwekea mzigo wa tumbo mwenzio kwenye kifua chake utakua unamkata stimu sana mwenzi wako.!
Anapenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…