The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
Keren aisee nimekumiss this big, yaani i mean this big, yaani big like a baloon no big like a swimming poolOhhh....kumbe!!!
Mie sikujua........
Keren aisee nimekumiss this big, yaani i mean this big, yaani big like a baloon no big like a swimming poolOhhh....kumbe!!!
Mie sikujua........
Sijazimia avatar mkuu kwani kuna avatar ngapi ambazo zina mvuto mbona sijazisemea? Mbona hata wewe avatar yako ni nzuri kwa nini sijasema neno?
Blackberry ni dume la mbegu..
Keren aisee nimekumiss this big, yaani i mean this big, yaani big like a baloon no big like a swimming pool
Mimi mzima nilikuwa nije kwenu ila nikakuta nimewekewa matuta makubwa ya mawe, hivi bado tu haujanizimia???Hello TF...yaani unamiss that much...hata kupitia at home...ukanisalimia jamani...mhhh!!!
Otherwise, mzima lakini wewe?
Mkuu si ukiweke hadharani au ni secret l.o.lSure mkuu...
Hahaaa haaa... Sijui nilitaka kuandikaje nimeishia kucheka
Kwanini usimtumie PM....mpaka utangazie umma wote???!!..mhhh haya kila la heri............
Mimi mzima nilikuwa nije kwenu ila nikakuta nimewekewa matuta makubwa ya mawe, hivi bado tu haujanizimia???
Jumatatu MMU yote ninai-dedicate kwako yaani kila baada ya dakika tano nitakuwa nakuanzishia threadHapo kwenye red...nilikuwa nasubiria na mimi unianzishie sredi...hahahahah...LOL
Jumatatu MMU yote ninai-dedicate kwako yaani kila baada ya dakika tano nitakuwa nakuanzishia thread
nikikiweka nitakuwa nimebadili topic mkuu, akija blackberry mwenyewe hapa naweza kukisema vuta subira
Something special, something you have never heard or seen before ngoja nikuache ukiwa CURIOUS ALL THIS WEEKEND ningekwambia sema ndio nitakuwa nimeharibu supriseMhhh....hiyo jtatu kuna nini special???!!!......
Mie niilidhani
weye ndo unanizimia..
yaani unaniuza live
khaa ngoja nitafute mwingine
hahahah lol
Something special, something you have never heard or seen before ngoja nikuache ukiwa CURIOUS ALL THIS WEEKEND ningekwambia sema ndio nitakuwa nimeharibu suprise
Cheki cheki mkuu! Inaweza ikawa bahati yako
Vipi wewe haujanizimia mimi