Nimemuongezea ulinzi mchumba wangu

Mwanaume usiye na wivu basi una MAPUNGUFU, ulinzi ni kitu muhimu usijidanganye uta-share na watu bila wewe kujijua, yawezekana hata marafiki zako wakawa wanakula mzigo na wanakusanifu tu, wanawake wameumbwa na SIRI nzito, kuweni makini. Mimi mimeshachukua hatua wewe je?
Miaka ile wakati nasoma Sekondari niliwahi kusoma shairi moja, nimelisahau jina ila lilikua na baadhi ya beti zenye maneno haya "Mlinda wajisumbua kulinda chenye hisia, chaenda chatenda charudi..." pengine wakongwe watakumbuka hilo shairi hahahahaah kwahio Kijana wangu.....tulia utakufa utaacha utamu, kubali kugawana utamu tu
 
Huo ulinzi ni outdated sana na haukawii kukupa kihoro... Wenzako hawalindi hivyo.
Kama unauchungu sana na huyo manzi nenda kwa babu anakupa dawa ambayo demu wako akitoka na mwanaume mwengine yeyote yule mishebebe yao haidindi.
Mpini utaodinda akiwapo uchi huyo mpenzi wako utakua wako tu....Sasa hii ndio security.
 
you are wasting time mkuu,acha ajilinde mwenyewe binadamu halindwi kama mnyama
mimi siwezi kukubali demu wangu akaliwa na mwingine, hatuwezi share sehemu napumzikia aisee!!! hili nimeshaamua na nalitekeleza kwa vitendo!!
 
It takes 2ms mwanamke kuliwa. Mwanamke kulala na mwanaume Ni feelings and not physical na Haya Mawivu yako najua feelings na wewe Ni ndoto, mapenzi kwako yeye Ni wajibu..... Pole maana ataliwa tu
Hakuna kisichowezekana chini ya jua; ntahakikisha HALIWI !! Nimeamua na nitatekeleza
 
Mwanamke alindwi, let's say it's 20% by 80%..... 80% aamue mwenyewe kujilinda. Wakati nasoma chuo kuna Mzee mmoja tajiri kweli alikuwa na mke mzuri anampa kila kitu na kumwamini balaa, Siku moja katoka, ajanipigia niende nikachukue gari kwake nimsaidie kazi, nikakuta mke wake kabamizwa ukutani na mtoto wa jirani wa form two, Shemeji yangu kalalama huyo, nikamwambia sitasema wala usijali, mpaka Leo Ni Siri yangu wala Yule Mzee ajui, ukimwambia mke wake analiwa hamtaelewana, nikapata somo nikasonga. Mwanamke bwana is something else, anaweza Tembe hata na toyo buy ambaye humuwazii!!!! Kama unabisha na uko tayari Ni pm Mimi nitakuelekeza namna ya kuhakikisha Weza analiwa au Vipi, Nina ka program nilikanunua India kanafukunyua simu balaa hata Kama text zimefutwa, kwa mtu ordinary mtumiaji wa simu utamshika tu.
Software Programs zipo nyingi tu Mkuu, ndiyo maana nasema hivi mtu acheze na demu wangu - ataona kitakachomkuta.
 
Sasa Kama anawataka wanaume yeye? How old are you?
Kaka mwanamke yeyote yule hawezi kuanza kumtaka mwanaume unless awe Changu (guberi)!! lakini kuna wanaume kazi yao ni kutongoza mademu wa wenzao kwa tamaa zao za mwili - sasa hao ndiyo mimi nawataka!!
 
Watu wa aina yenu,ndo mnaojinyonga kwa kukuta wanawake wenu wanaliwa,watu hamna stamna,lakini nyodo kibao..
 
Kaka mwanamke yeyote yule hawezi kuanza kumtaka mwanaume unless awe Changu (guberi)!! lakini kuna wanaume kazi yao ni kutongoza mademu wa wenzao kwa tamaa zao za mwili - sasa hao ndiyo mimi nawataka!!

Kaka yangu na Mdogo Wangu, don't argue na wakubwa waliiona na kupitia mambo mengi, soma Majarida etc.... Oh my God, kuna wanawake decent sana tu natural anavutiwa na mwanaume na analiwa na bado mpo naye!!!!

Kwa kukushauri tu, kwa mtazamo wako na matatizo yako na Mawivu yako Mdogo Wangu, ndo unaongeza mazingira ya Mchumba wako kuliwa. Wanawake waone hivyo hivyo, atakudanganya yule ananisumbua bla bla wakati ana mambo yake.

Kama hajawahi lala na mwanaume then currently kuwa na aman, nimesema currently maana baadae yaweza geuka. Lakini Kama ameshawahi au umeshalala naye wewe Kaka yangu na ndugu yangu, lolote lawezekana.
 
Back
Top Bottom