Nimemuongezea ulinzi mchumba wangu

Umejitahid kupata koments nyingi, ujitahidi tena kuanzisha uzi mwingine huu utakapoisha muda.
 
ndiyo maana nimekwambia nina last option ambayo naifanyia implementation leo usiku, hii nitatumia nguvu za giza. Nikikukosa kwenye option 1 to 4, basi nakukamata kwenye ile ya 5.

Hachomoki mtu aisee!!
Dah nimecheka sana [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] lakini nikupe pongezi kwa muda ulio invest kuhakikisha papuchi inabaki safe.
 
Nadhani unatafuta kifo cha presha ya kujitakia kila lakheri mkuu
 
Duh!!!!

Wewe utakufa kabla ya siku zako, tena haufai sababu akili yako yote tangu asubuhi hadi unaingia kulala unakaa unafikiria nani anataka kula mchumba ako.

Kwa hiyo haufai kuwa hata mume, mwanaume gani haujiamini na hauna trust hata kiduchu.

Mwanaume kama wewe hafai kabisa, mimi nikikumbana na mwanaume kama wewe ni piga buti hukoooo maana wa kama wewe akili ya kusaka pesa utakuwa unawaza papwuchwi tu na mwili wa mwanamke. Hata kujiangalia hakuna na kujipenda. Tena labda kuchepuka wa hivyo atakuwa namba mojaaaaa
 
Madogo Kama hawa ndo huwa wanajizuru!!!! Msaidieni ndugu yenu jaman, Ni Mtanzania mwenzetu.... Na uhakika hata wadada hapa wanasema huyu naye katoka wapi..... Mwanamke Ni Habari nyingine ndugu zangu.

Umeongea vizuri mkuu...some painful truth!!
 
NITAFUTE NIKUELIMISHE JINSI YA KUMLINDA MPENZI WAKO NI SMS INBOX,AWE WA KIUME AU WA KIKE NITAKUSAIDIA,UNAONA KILA KITU ANACHOFANYA KTK SIMU YAKE
 
KAMA ULIMKUTA HANA BIKRA ULINZI HAUNA MAANA MKUU

Yaani kama ulikuwepo akilini mwangu...wakulindwa ni bikra tuu. Hawa ambao mileage kubwa wala hujisumbui...ata wakigegeda hawaibandui hiyo papuchi.
 
Sasa hapo umemlinda yy au umeilinda simu yake?
Hizo tunamalizaga tu bila sms wala calls
Ukitaka kulinda mwekee mlinz wa kike awe anamfata kila sehemu anazoenda
 

Maneno kuntu mkuu! Ila sina uhakika na umri wa mleta uzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…