tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 566
you have very shallow mindsetHujaoa - nyamaza tu. Umeoa na mkeo hajawahi kucheat-nyamaza. Umeoa na ulishamfuma mkeo kacheat, karibu tuwape vijana uzoefu!
nilimkamata wangu nikaprove kwake na aliyekuwa anamgida nikampa adhabu aliyochagua mbele ya mke wangu. Mke wangu bado ninaye ila kidonda bado kipo moyoni. Sababu za kutomwacha:
1. Nami nilikuwa mchepukaji na alinieleza alikuwa analipa kisasi,
2. Aliomba msamaha;
3. Umri
4. Kutokana na namba 4 hapo juu, niliogopa kuanza maisha mapya na mwanamke mwingine