Bora iwe hivyo.... halafu kwa haraka huo ni mchepuko. So sometimes inabidi wakomeshwe kwa style hiyo.
Hahahahah! Big Baba hii ni Tsh
Kuku mzima tena dem, mi ningewasema wazi wazi mmekuja kunikomoa au.
ni Tsh 29,000/= ama $29,000/=
Wazungu mkitoka out kila mtu anakuwa na ela yake anajilipia,hakuna mtu anapenda kulipiwa
Lakini inawezekana hii ilikuwa first date....
Kama mwanaume hasomeki wadada huja 2 (ulinzi ati)
mbona ni ndogo sana kwa mtu mwenye nia ya starehe....kama tatizo ni privacy si ange postpone maongezi tuu yakawa siku nyingine kuliko kukimbia.
Ndo uzuri wa wazungu, hapa tz ni kama mwanaume ana access zaid ya pesa
Jana nimeondokai na
kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake
bilakunishirikisha,nilishangaa kila mmoja anaagiza kuku mzima! na
Henken.
Nilikuwa na Pesa za kutosha nikasema sawa,but baada ya rafiki yangu
kuja na kutusalimia na kuondoka alini text na kunitonya kuwa hao mademu
wa Changombe ndio zao,mie nikajifanya naenda kutuma pesa, nikaondoka
mpaka Home yaani haraka haraka bill ilikuwa kama 29000/=.
​aibu ya nini,wakome, kaitwa mmoja wamekuja wawili,gaadeeeemu
Tatizo sio bill...... kwa mtizamo wa kawaida ni hilo tela alilofunga..... Tabia mbaya sana. Hapo hata kama mnataka privacy hupati.....mgeni katoa jicho utafikiri anaangalia blue print...... teh teh.....
Jana nimeondokai na kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake bilakunishirikisha,nilishangaa kila mmoja anaagiza kuku mzima! na Henken.
Nilikuwa na Pesa za kutosha nikasema sawa,but baada ya rafiki yangu kuja na kutusalimia na kuondoka alini text na kunitonya kuwa hao mademu wa Changombe ndio zao,mie nikajifanya naenda kutuma pesa, nikaondoka mpaka Home yaani haraka haraka bill ilikuwa kama 29000/=.