Nimemuachia bill mchunaji

Nimemuachia bill mchunaji

Jana nimeondokai na kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake bilakunishirikisha,nilishangaa kila mmoja anaagiza kuku mzima! na Henken.

Nilikuwa na Pesa za kutosha nikasema sawa,but baada ya rafiki yangu kuja na kutusalimia na kuondoka alini text na kunitonya kuwa hao mademu wa Changombe ndio zao,mie nikajifanya naenda kutuma pesa, nikaondoka mpaka Home yaani haraka haraka bill ilikuwa kama 29000/=.

mlikuwa wapi huko bei rahisi hivi??!!! kuku wawili na heineken bill 29,000! na bado umekimbia! kwani ulikuwa na bei gani mfukoni,30,000? siku ingine jiandae hata wakija watano
 
yani unakimbia hiyo pesa ya madafu? njoo nikulipie
 
Ukitoka unatakiwa utenge kiasi kinachoeleweka...sasa ww Tshs.29,000/= unakimbia! Au hao wanawake hawakuwa kwenye standard inayotakiwa wametoka uswazi...
 
Hadi nimeona aibu Mwanaume unakimbia bill 29000 kweli???????

nimecheka sana!ishantokea longi mporipori mmoja kajitia hashuo za kuntoa out,nkajiendea zangu pembeni nna kiji akiba changu kufika kule nkaagiza akashtuka"hee mi sina hela hapa nna ela ya chips tu"
nkacheka kwa dharau nkamwambia ntajilipia usijali akanywea nywiii na tulivyotoka pale hakunifata tenaa na ujanja mfukoni wote
hvyo ht mdada aliemuacha alikua na akiba yake mfukoni zaid kajitia aibu t
maana outing na hunijui sikujui shuti mdada uwe na ht kijibuku ten
 
hahahahaaa!! njoo pm tuongee vizuri.
Nahisi ni mimi kabisa. lol
 
Japo siwezi kwenda kwenye appointment ya mpenzi wangu na rafiki yangu ila hapo kwenye bili imebidi nicheke. Eti umekimbia bill ya sh 29000 au? Nikitoka out nina hela yangu pengine kuzidi hata alinayo mpenzi wangu.

Atakuwa mwanachuo labda? Boom shida....just thinking...
 
ah haha hahaaahahaa.......i never take JF serious, utatukana sana monitor na kutoa sugu kwenye vidole vyako kupitia keyboard hadi ukome

Aliyekwambia anaichukulia serious nani????? Wengine sie wachangamsha genge tu.
 
nimecheka sana!ishantokea longi mporipori mmoja kajitia hashuo za kuntoa out,nkajiendea zangu pembeni nna kiji akiba changu kufika kule nkaagiza akashtuka"hee mi sina hela hapa nna ela ya chips tu"
nkacheka kwa dharau nkamwambia ntajilipia usijali akanywea nywiii na tulivyotoka pale hakunifata tenaa na ujanja mfukoni wote
hvyo ht mdada aliemuacha alikua na akiba yake mfukoni zaid kajitia aibu t
maana outing na hunijui sikujui shuti mdada uwe na ht kijibuku ten

Wajinga washazoea wanafunzi wa sekondari, sie watu wazima huwa tunahakikisha mfuko unasoma ukizingua sina habare naendelea kula raha.
 
mlikuwa wapi huko bei rahisi hivi??!!! kuku wawili na heineken bill 29,000! na bado umekimbia! kwani ulikuwa na bei gani mfukoni,30,000? siku ingine jiandae hata wakija watano

Halaf unakuta jamaa limemnawaa vya kutosha mpaka kwenye kucha inagandia damu
 
We mshkaji sio kabisa,mademu wachache sana appointment ya kwanza kuja peke yake hasa ukionekana una usongo au sura ya kiubakaji,huyo alikuwa company yake,mara nyingi huwa hivyo hasa appointment za usiku!Hukufanya Poa kabisa
 
pole zao wadada wenzangu. maskini unatolewa na under age unategemea nn?

na sehemu wanazopelekwa ni zalau tupu.

ni bora utoke mara moja kwa mwaka malaika ili mradi tu uthaminike. poleee yao

kwani mtoa mada kasema yeye ni under age?
Au wanaume wana visima vya pesa.
 
mlikuwa wapi huko bei rahisi hivi??!!! kuku wawili na heineken bill 29,000! na bado umekimbia! kwani ulikuwa na bei gani mfukoni,30,000? siku ingine jiandae hata wakija watano

Hapo kaenda kwa bei rahisi kakimbia, je akienda zile sehemu viwango itakuwaje mana hiyo 29,000 ni bei ya maji bado chakula na vinywaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom