Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,705
- 11,298
Kwa.hiyo mkuu jana.ulikunywa kwa bili yao
daa!mkuu siku ingne acha sifa ona sasa nimecheka hadi nimevunja mbavu...ila hio ndo dawa yaani unakuta wanakunyw kwa kasi kulko hata ww
Kumbe ni wewe nilikuona uko resi kinoma nikajua una wahi somewhere kumbe ulikuwa unaescape mkuu! Salute...
Hii ya kutenganisha bill ndio yenyewe. Ila demu anayekupenda hawezi kuja na timu kama hiyo na hata akija hawezi kuruhusu wenzake mkae nao meza moja. Huyo demu hakupendi au hana akili ya kujitegemea anapelekeshwa na wenzake
Pole mwaya sikunyingine uwe muwazi ungewaambia hauko vizuri
Safi sana akukomoe kisa nini?
mkuu ulikosea kidogo. siku nyingine unatakiwa ulipe bill yako na ya huyo mpenzi wako tu. hao marafiki zake walipe wenyewe. angalizo: kumbuka kumwambia weita mapema atenganishe bill
Mkuu kam nakuona ulivyolala usingoz mnono wenyew ndoto za amani.. Ungetumia hizo hela ungeish kwa stress kama wiki 3 na nusu alaf dem bado asieleweke.
lol nimecheka ungeuliza deni walilipaje kunogesha story
We mwanamke mumeo ile kitu unampa SAA ngapi?Nadhani amekusoma na kwa kuwa wapo sehemu moja kikazi itabidi akamuulize aje kumalizia huu mkasa.
jean phillipe beyun
Usiishie kucheka tu... Upate somo hapoHaaaaaaaaaaaa nimecheka kwakweli...
Ko hata zile bia TATU ulizokunywa bill ikawa kwao LOL