Nimemtoa out kaja na marafiki zake watatu

Nimemtoa out kaja na marafiki zake watatu

na mm nipo....nitahama mchana kweupeee

Sema ndio hivyo ila post hii iko safi sn mi inafuatana kama wataifuta asbh mda huo huo kama nikp kwenye mishe hata hm crudi niko kwenye kozi fupi la c hivyo nimengempa zawadi
 
Sema ndio hivyo ila post hii iko safi sn mi inafuatana kama wataifuta asbh mda huo huo kama nikp kwenye mishe hata hm crudi niko kwenye kozi fupi la c hivyo nimengempa zawadi

ngoja nipaki begi la nguo niwe natembea nalo kabsa ili siku imefutwa na mm nafutika tz
 
Hahahhahahahahahahah ningependa kujua muda wa bili ilikuaje doh pole though
 
Kumbe ni wewe nilikuona uko resi kinoma nikajua una wahi somewhere kumbe ulikuwa unaescape mkuu! Salute...
 
jean phillipe beyun

mkuu inaitwa escape from bill don miss another epsode bt nilicho furahi kwenye hii epsode na bill yako ililipwa
 
Last edited by a moderator:
Hii ya kutenganisha bill ndio yenyewe. Ila demu anayekupenda hawezi kuja na timu kama hiyo na hata akija hawezi kuruhusu wenzake mkae nao meza moja. Huyo demu hakupendi au hana akili ya kujitegemea anapelekeshwa na wenzake
aisee umesema kweli huyo demu ni mpumbavu wala usimfatilie tena
 
Sina mbavu za kucheka....dah ulimuweza maana wengi wao ndio zao. ..hawana ustaarabu. ..kila wakati wanawaza kuchuna. ..savannah dry, Heineken, windhoek, na ile wine gani ile vile?...glass ni tshs 4,000/=...ukimwambia kunywa penasol anakwambia inaleta kiungulia. ..brother ulifanya poa. ..na ndio dawa yao. .ni kuwatoroka to.
 
na wakiwa wenyewe ni mwendo wa Konyagi kuubwa na maji........
 
Hongera sana kwa kuwatoroka.Huyo hafai kabisa alitaka kukulia vyako tu.Mshukuru mungu amekuonyesha mapema!
 
Back
Top Bottom