Duh! Pole ila acha ukomeshwe kule mamsap hujampa hata kagift ka elf 2 huku unatoa wat outday.
Ulichofanya ni kizuri endapo ulilipia zile bia zako tatu. Siku nyingine ufanye vizuri zaidi kwa kuwaambia kuwa una bajeti ya mmoja tu ili hao wengine wafanye maamuzi mapema badala ya kuondoka kama mwizi.