Haaaaaa ua ndio hao marafiki zake lol
Mabint wengne hawajafunzwa kwao kwnye kula 2 ndo wanakuja wote mbna kwnye friend match huwa hawaend wote
Lkn ck ikifungiwa jf nitakonda na kuhama urai
Mi nkafikir niko pekee angu
Kumbe na ww mi nilijiamini nikifikiri niko mwenyewe