Nimemstukia mke wangu...

sina uhakika sana kuhusu hilo. Hawezi kunitegea kwakuwa alikuwa hajui kuwa nitatumia pc yake.

Kama ni kweli,huyo ni zaidi ya mkeo! Mlipendana na kuoana, na bado miaka kadhaa inapita,mnakutana online..na mnaelewana.. Kisha unampenda, unataka kumapproach... You were meant for each other..lol!!!
 
unapenda sana sifa sasa thread gani hii kutuchafulia tu jukwaa ... no one can buy this hu ni uongo wa hali ya juu

kama umeshajua kuwa ni uongo kwanini unaendelea kukomenti uongo. Nina wasiwasi na jinsia yako.
 
Unaniboa sana wewe "Mambo yenu ya Radio Uhuru ya kubadilishana PC huko huko Lumumba sio hapa!!!"

pole sana kwa kukuboa. Fungua forum yako uchati na mkeo na watoto wanaojua interest zako ili wasikuboe.
 
Kwa hiyo hii poost ataisoma? Kama ataisoma si atajua kuwa ni wewe? eti ulitaka kumotongoza......! ni kweli wanaku-cameroon? Kweli JF ni noma

kwahiyo umeamua kuweka wazi mambo yako wanayokufanyia.
 
Jamani.....mimi ninchojua tupo katika chit-chat.
Na hapa huwa tunaweza kuleta story ya kweli au ya kutengeza au umeisoma mahali fulani au umeiona mahali na kuamua kuvaa uhusika.
Ili mradi kiwe ni kitu kinacholeta sense na kuanzia hapo tunaweza kuchangia bila ya kutaka kujua source, kuna majukwaa kuna post ambazo source ni lazima.
Lakini kwa post ya aina hii nafikiri haihitaji kulumbana na kushutumiana, bali kinachohitajika ni kunzia alipoishia.
 
Nimegundua wabongo wengi wavivu wa kufikiri. Hawajui hata mgawanyo wa haya majukwaa.

Silumbani na wapumbavu hata kidogo.
 
hahaha.luck u are! Hebu nenda mmu ukasome post zake kabla hajabadili pw
halafu panda juu kwenye politics forum ndo utazimia kujua yeye ndo CDM Dam dam against yu Mr Magamba

Hapo kazi kweli. Mfano unakuta posts akiuita masaburi.
 
Mzee we ni inshomile? Hii posti ina mashauzi ka ya washolime vile


Il Gambino.
 
Kwa hiyo hii poost ataisoma? Kama ataisoma si atajua kuwa ni wewe? eti ulitaka kumotongoza......! ni kweli wanaku-cameroon? Kweli JF ni noma

Umeona eeh! Sidhani kama ni kweli; asingejiexpose kihivi!
 
hivi nyie nani kawaroga? Nashangaa mijitu eti inawatongoza akina husn,liz,nyumb kubw king'ast n.k hv unawajua hawa? Hacheni kuendekeza ngono zembe nyie wagaratia!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom