Nimemstukia mke wangu...

Nimemstukia mke wangu...

Mazee mengine mapumbafu sana,sasa hili linatunga story then ,unapost huku ,peleka huko radio uhuru wafanye morning talks,jinga sana hili zee!
 
Usiku huu nimechukua Pc ya mke wangu ila walau ni log in Jf. Kumbe na yeye ni member ya jf, alisahau kulog off.

Huwa tuna chati sana kwenye pm, na nilishajipanga kumtongoza. Kweli mungu ananipenda.

Nimeingia kwenye pm zake, sijakuta pm chafu. Kweli mke wangu ni mwaminifu. Mungu ambariki.

Imenibidi nimrudishie pc yake.

Sasa wewe tongoza tongoza hata bila kumuona, mpaka sasa utakuwa umetongoza wangapi? kila la kheri na ukome kuchokonoa pm za mke wako utakuja jinyonga siku moja
 
hivi nyie nani kawaroga? Nashangaa mijitu eti inawatongoza akina husn,liz,nyumb kubw king'ast n.k hv unawajua hawa? Hacheni kuendekeza ngono zembe nyie wagaratia!!

mkuu punguza hasira.
 
Mazee mengine mapumbafu sana,sasa hili linatunga story then ,unapost huku ,peleka huko radio uhuru wafanye morning talks,jinga sana hili zee!

mpumbafu ni wewe usiyejua hata maana ya haya majukwaa.
 
Back
Top Bottom