Nimempenda mtoto yatima aliyelelewa kituoni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimempenda mtoto yatima aliyelelewa kituoni.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sumbalawinyo, May 8, 2011.

 1. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Judith alipata bahati mbaya ya kufiwa na wazazi wake akiwa mdogo sana. Ndugu walimtelekeza na hawajui ndugu zake kabisa.
  Maisha yake amekulia kwenye kituo cha lulelea watoto.
  Leo anajitegemea na anajimudu, swali langu kwenu je mahari nipelele wapi kwani sio heshima binti kuolewa bila ya kutolewa mahari.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Peleka kituoni alipolelewa
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Muulize Judith! Atakayemridhia ndiye. Si mjuvi ila wengine watakupatia mengi zaidi.
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Sumbalawinyo hongera kwa kupata huo binti na nia yako njema ulonae juu yake. Katika malezi kuna wazazi ambao ukijaliwa waweza kukulea na pia kuna walezi ambae anaweza kua ndugu au sio ndugu. Naamini Judithi hata kama ni yatima lazima kuna mahala kalelewa, labda uniambie kua kakua toka mtoto mdogo kama chokoraa - ambapo the chances of her kukua mpaka akaonekana ni binti anae faa kuolewa ni minimal.

  Judith naamini atakua na watu/mtu ambae yuko karibu na anmtegemea kimawazo au ushauri au all together looks up to. Umejaribu kumuuliza Judith mtu wake/familia yake ya karibu ni ipi? Hao unaweza kwenda kujitambulisha kwao, na mahali kwa situation kama hio sio neccessary saana, kiubwa wale watomsimamia Judith katika process zote waweza pewa kiasi reasonable kama mahali, kuonesha heshima na kuwajulisha kitu na maamuzi yote juu ya Judith wao ndo utawasikiliza. Nakutakia kila la kheri.

  Leo ni siku ya akina mama... Kama utaweza naomba mwambie mwana mama yeyote ambae unaona ni deserving kua she is a good Mom...
   
 5. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwanza nikupongeze kwa hatua uliyofikia ya kukubali kuanza maisha na mwnamke ambae ni yatima, ambae hata wazazi na ndugu zake hawawajui, wengi wlishindwa hivo kwa kuhofia watoto watakuwa hawawajui upande wa mke na kuishia kuoana na ndugu zao, kwa swala la mahari please peleka palepale kwa wamama wa kituo cha kulelea yatima alicholelewa na pia mkimaliza taratibu kwenye ndoa wale wamama ndio waje kuhudhuria kama wazazi

  Baada ya hapo ningependa kukushauri kutumia taarifa za pale kituoni mnaweza kuwatrace ndugu siku hizi kuna mitandao mingi tu unaweza ukawajua wazazi wake nina hakika wanajua walimpata wapi huyo mtoto mnaweza anzia palepale hata ikichukua miaka kumi utakuwa umempa mkeo zawadi nzuri sana.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  Hiyo mahari mpelekee aspirin na teamo watajua nini cha kufanya.
   
 7. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Yaani umeona wao wanashida sana ee ngoja waibuke wenyewe mie simo
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  waooooo!!! leo siku yangu imekuwa nzuri sana kwa habari hii!!

  tafadhali usininyime kadi ya mwaliko, mahari huwa mwanamke mwenyewe ndio anasema, hivyo bibie atakueleza pa kuipeleka!!
   
 9. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli leo siku yetu tungekuwa tunaweza tungekutana mahala ku celebrate lakini humu haiwezekani
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  naikumbuka ile story ya maisha yako
   
 11. N

  Nancy70 Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono ushauri wa Gaga na Asha D fanya kama walivyokueleza na hongera sana
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  kuna mijitu inapenda vya bure, kisa cha kumfuata mtoto yatima ni kutaka kukwepa kulipa mahari
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Jamani Bujibuji kwahio Judith asiolewe ???
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Bujiiiiiiiiiii!!! kwani hawa hawana ya kuolewa na watu wenye proper family? hakuna bwana zali limemuangukia acha aolewe na mahari itapelekwa hukohuko
   
 15. S

  Smarty JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  mahari mpe judith maana ye ndo anaenda kuolewa na kuitumikia ndoa. Akipenda kuwagawia kidogo wale waliomlea ni vizuri au akiamua aitafune yote mwenyewe ni vizuri pia. Binafsi huwa nawashangaa wazazi wanaokomalia wapewe mahari kama vile wao ndo wanaenda kuolewa. Mzazi kazi yake ni kutoa ruksa binti akaolewe basi.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  mahari apeleke kwa waliomsaidia binti kwa hali na mali hadi Sumbalawinyo akamuona na kumpenda, mi namshangaa Sumbalawinyo anauzunguka mbuyu.
   
 17. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  are you serious?
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hongera kwakumpata mwenzako....muulize ni watu gani anaowashukuru na kuwapenda sana kwakumjenga na kumfikisha alipo hao ndo uwape hako kaASANTE!!!
   
 19. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ulitaka uletewe wewe?subiri kadi ya mwaliko mwendo wa pilau na togwa!
   
 20. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #20
  May 9, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono maneno yako....! Mahari ni haki ya muolewaji.
   
Loading...