Nimempenda mtoto yatima aliyelelewa kituoni.

Judith alipata bahati mbaya ya kufiwa na wazazi wake akiwa mdogo sana. Ndugu walimtelekeza na hawajui ndugu zake kabisa.
Maisha yake amekulia kwenye kituo cha lulelea watoto.
Leo anajitegemea na anajimudu, swali langu kwenu je mahari nipelele wapi kwani sio heshima binti kuolewa bila ya kutolewa mahari.

Mkuu yaani hapo nakupa big up kubwa balaaaaaa....
 
Hawa wanakuwaga wake wazuri sana mpe moyo na usimnyanyase, mahari peleka kwa waliomkuza
 
Back
Top Bottom