Nimempenda kaka wa x boy wangu

Nimempenda kaka wa x boy wangu

Shikamooni wakuu,

Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nini dunia hainipendi, jana nilienda Mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae niliachana nae kama two weeks ago.

Katika maongezi yetu akafurahi sana kuonana mie akaniomba nipate dinner pamoja nikamkatalia lakini aliniomba sana mwishowe nkaona any way siyo ishu, basi tukaenda somewhere for dinner.

Baada ya dinner tukaanza kunywa wine na story kibao, mwisho wa yote akaniambia kuwa toka siku ya kwanza aliponiona na mdogo wake alinipenda, nimpe nafasi nikamwambia kwa sasa nina mpenzi mwingine ambaye ni (mkurya wangu niliyefahamiana humu humu)) akananipromis mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuninunulia gari ya kifahari.

Nikamwambia anipe mda (ikumbukwe ana mke na watoto wa 2) basi tulikunywa sana mwishowe nikamuomba anipeleke nyumbani. Basi tukaingia kwenye gari acha aanze makisi romance sikuelewa chochote

Tukaagana kwamba nitampa jibu leo, kuamka leo asubuhi kantext eti jana aliinjoy sana akinikosa atapata presha, sijamjibu lolote. Of course me huwa nipo wazi sifichi hisia zangu nahisi nampenda pia.

Nishaurini nimpe jibu gani?

Nenda tu akubokoe, si mdogo mtu kashaachia mzigo? labda alimwambia una machine nzuri. Kwasababu atakununulia gari ili ku speed up action mpe tigo kabisa kabisaaaaaaa!
 
ukiona msichana anarukaruka sana yaani anabadilisha wanaume mara leo huyu kesho yule basi ujue ana nyota ya popcorn."

ayaaaaaa....!
 

Attachments

  • 1399903721259.jpg
    1399903721259.jpg
    6.1 KB · Views: 177
Mama yako pya aljkuwa nalo ndo mana ukazaliwa

Dada usiwe na hasira kwan si wote wanaotoa maon ni lazima uwajibu,na pia nakuomba embu fikiri ck ambayo utatambulishwa kwao tena na kaka wa x boy wako! Kiafrika nadhan utaeleweka vbaya,samahan kama ntakukwaza.
 
aisee watu wana guts hatar, asa huyo mkurya wako akiona hii thread inakuaje???
 
Mbavu zangu.... mvinyo tuu unauza utu wako kwa denda la kumwagaaa.... km jamaa ni muathirika je?
 

Attachments

  • 1399904163565.jpg
    1399904163565.jpg
    66.1 KB · Views: 87
Back
Top Bottom