Nimempenda kaka wa x boy wangu

Nimempenda kaka wa x boy wangu

We kiboko,boyfriend mmeachana wiki 2 zilizopita,ndani ya wiki 2 umempata mkurya wako Wa jf na ndani ya hizo hizo week 2 umefall kwa kaka Wa ex.....mmmmh!!cheeers
 
Wananipenda wenyewe
 
Basi MPE na yeye afaidi, ila kumbuka ye anataka kugusisha sehemu ya haja ndogo tu, baada ya hapo mnaachana kama ilivyokuwa kwa MDOGO wake.

Mdogo wake nlimwacha mm baada ya kushindwa kubadl dini anioe
 
Shkmoon wakuu
Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nn dunia hainpendi
Jana nlienda mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae nliachana nae kama 2 weeks ago,

Katika maongezi yetu akafurah sana kuonana mie akaniomba nipate dinner pamoja nikamkatalia lakn aliniomba sana mwishowe nkaona any way siyo ishu
Basi tukaenda smwhere for dinner
Baada ya dinner tukaanza kunywa wine na story kibao
Mwisho wa yote akaniambia kuwa toka siku ya kwanza aliponiona na mdogo wake alinipenda,nimpe nafasi nikamwambia kwa sasa nina mpenz mwngne ambaye ni (mkurya wangu nliyefahamiana hum hum))akananipromis mambo mengi sana ikiwa n pamoja na kuninunulia gar ya kifahari,nikamwambia anipe mda (ikumbukwe ana mke na watoto wa 2) bas
Tulikunywa sana mwishowe nikamuomba anipeleke nyumban,bas tukaingia kwenye gar acha aanze makis romanc ckuelewa chochote,,
Tukaagana kwamba nitampa jibu leo,
Kuamka leo asbh kantext et jana aliinjoy sana akinikosa atapata presha,
Sijamjibu lolote
Of coz me huwa nipo wazi sifichi hisia zangu nahis nampenda pia!
Nishaurini nimpe jibu gan

hicho hapo ndo kinakufanya kuuza utu wako
 
Kwanza inaonekana maharage ya mbea 100% umeachana na mtu 2weeks ago saivi unamwingine na bado unatolewa out na midenda unaliwa shame on u mtoto wa kike usie jielewa next week utatuambia umemnyonya baba mkwe p*mbu baada ya kukutoa out na ukampenda pia. Pyeeeeeee tabia haina dawa
 
Kuna audio clip moja ya mmama wa kisukuma huko whatsapp aisee sijui ntailetaje hapa ili huyu binti aisikilize! Wadau nisaidieni nawezaje hamisha clip hiyo imfikie huyu bibi mana inamhusu saana!
 
Back
Top Bottom