Sijajua ni wapi nisimame[/QUOTE]
hujielewi ndio maana hujui wapi pa kusimama!!
sa huelewi nini wakati kila kitu kiko wazi........
au ndio kujitoa ufaham
Kaka mtu hajanikaza bado
Kaka mtu hajanikaza bado
Mi kwakweli amenikera sana Leo, naona kama anatuzingua tu, sijui hata kama kweli anataka ushauri au kutupotezea muda tu.
Kwan katoa mahari?
Ua very cheap in evrythn...heshimu mwili wako...unajichoresha sana bidada
me napendaga warembo kama ww me menager masoko EXIM Bank naomba uni PM nikupeleke Dinner hotel yoyote ya kifahari utakayotaka alaf me ni bonge la hundsome boy business man single achana na huyo mwenye merriage