JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
Umukagame aka cha wote
AKA nyingine cha kulewesha. Akilewa zinashuka kunako
Umukagame aka cha wote
Busara jambo muhimu sana nivyema ukawa kimya kuliko kuchangia utumbo
Na usikute alipigwa chini na mdogo mtu kwa sababu hizo hizo za kugawa papuchi kwa kila mtu. Wameishamuona ni jamvi la wageni ndio maana wanamfuata. Lol!Akitoka kaka yake anakuja baba....utakazwa na familia nzima
Amuhonge gari gani? Kwa hizo si ni nyonjera za kila mwanaume. Ajiulize amewanunulia wangapi hata amununulie yeye. Weshamuona ni mtu wa kupenda makuu lazima waje kwa gia kubwa ya uongo. Yeye agawe tu hata kwa kumleta mkaa wa nyumbani kwaonadhani uko curious ukimkubalia atakupa gari gani...
maana vi passo vishaanza kuchuja kwenye fashion, sahivi wanahonga mark x n.k
Shikamooni wakuu,
Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nini dunia hainipendi, jana nilienda Mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae niliachana nae kama two weeks ago.
Katika maongezi yetu akafurahi sana kuonana mie akaniomba nipate dinner pamoja nikamkatalia lakini aliniomba sana mwishowe nkaona any way siyo ishu, basi tukaenda somewhere for dinner.
Baada ya dinner tukaanza kunywa wine na story kibao, mwisho wa yote akaniambia kuwa toka siku ya kwanza aliponiona na mdogo wake alinipenda, nimpe nafasi nikamwambia kwa sasa nina mpenzi mwingine ambaye ni (mkurya wangu niliyefahamiana humu humu)) akananipromis mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuninunulia gari ya kifahari.
Nikamwambia anipe mda (ikumbukwe ana mke na watoto wa 2) basi tulikunywa sana mwishowe nikamuomba anipeleke nyumbani. Basi tukaingia kwenye gari acha aanze makisi romance sikuelewa chochote
Tukaagana kwamba nitampa jibu leo, kuamka leo asubuhi kantext eti jana aliinjoy sana akinikosa atapata presha, sijamjibu lolote. Of course me huwa nipo wazi sifichi hisia zangu nahisi nampenda pia.
Nishaurini nimpe jibu gani?
Akili yako n matope tu
Na kama kipo kitakuwa na majanga kama yule wa BOT miaka ilehajui kizazi cha wanaume wanunuliaji magar kimepita/kimeisha
Ungeandika tu kiswahili
Bahati mbaya hua sidate na watu wenye majina madogo kama nyie polen
Duh! Dada ni naona Kama vile unavuta:bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:. Unasahau kuwa unaishi katika jamii ya kiafrika inayojali maadili. Hebu niambie, ungekuwa umeolewa na kuzaa na huyo mdogo (ingawa upo uwezekano wa watoto wengi kuishia chooni) halafu akakubwaga. Kaka mtu anakuja kukupetipeti, ungempa paupuchi huyo shemejiyo. Kama ndio sasa unaporomosha mitusi ya nini unapoambiwa ukweliBahati mbaya hua sidate na watu wenye majina madogo kama nyie polen
Duh! Dada ni naona Kama vile unavuta:bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:. Unasahau kuwa unaishi katika jamii ya kiafrika inayojali maadili. Hebu niambie, ungekuwa umeolewa na kuzaa na huyo mdogo (ingawa upo uwezekano wa watoto wengi kuishia chooni) halafu akakubwaga. Kaka mtu anakuja kukupetipeti, ungempa paupuchi huyo shemejiyo. Kama ndio sasa unaporomosha mitusi ya nini unapoambiwa ukweli
Utaelewa tu kitu kikishazama ndani na utaelewa tu utakapoanza kula ndimu, ubuyu, udongo na chumvi.Ndiyo kitu kama hicho me hata sielew
Shida gani tena?! Si umesema huwa hudate wachovu wa humu! Hapohapo unasema mkurya wako umempata humo jamvini! Which is which? Shida yako ni nini, unahitaji 2*3 kila siku? Au njaa yako nini?Ni shida tu
ana mke na watoto wawili...........
ukimkubalia ndio utakuwa small house ama