Nimempenda kaka wa x boy wangu

Nimempenda kaka wa x boy wangu

Kaimgia na gia ya kukunulia gariii.??? Yatakukuta ya akina wema seputu. Mbie akupe hiuo pesa cash ukanunue mwenyewe.
Shikamooni wakuu,

Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nini dunia hainipendi, jana nilienda Mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae niliachana nae kama two weeks ago.

Katika maongezi yetu akafurahi sana kuonana mie akaniomba nipate dinner pamoja nikamkatalia lakini aliniomba sana mwishowe nkaona any way siyo ishu, basi tukaenda somewhere for dinner.

Baada ya dinner tukaanza kunywa wine na story kibao, mwisho wa yote akaniambia kuwa toka siku ya kwanza aliponiona na mdogo wake alinipenda, nimpe nafasi nikamwambia kwa sasa nina mpenzi mwingine ambaye ni (mkurya wangu niliyefahamiana humu humu)) akananipromis mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuninunulia gari ya kifahari.

Nikamwambia anipe mda (ikumbukwe ana mke na watoto wa 2) basi tulikunywa sana mwishowe nikamuomba anipeleke nyumbani. Basi tukaingia kwenye gari acha aanze makisi romance sikuelewa chochote

Tukaagana kwamba nitampa jibu leo, kuamka leo asubuhi kantext eti jana aliinjoy sana akinikosa atapata presha, sijamjibu lolote. Of course me huwa nipo wazi sifichi hisia zangu nahisi nampenda pia.

Nishaurini nimpe jibu gani?
 
Maniner wewe magari nabadilisha daily ila ni ya kawaida not like the expnciv 1 alonpromic
Ya kawaida kama yapi??Unavyoandika tuu inaonekana hata shule huna(empty head)..Naomba uzingatie ushauri nilokupa mwanzo ukiendelea kubishana na mimi nitakujia nikulishe hiki chakula hapa.
10262165_1418047361797668_4309840260190279128_n.jpg
 
Shikamooni wakuu,

Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nini dunia hainipendi, jana nilienda Mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae niliachana nae kama two weeks ago.

Katika maongezi yetu akafurahi sana kuonana mie akaniomba nipate dinner pamoja nikamkatalia lakini aliniomba sana mwishowe nkaona any way siyo ishu, basi tukaenda somewhere for dinner.

Baada ya dinner tukaanza kunywa wine na story kibao, mwisho wa yote akaniambia kuwa toka siku ya kwanza aliponiona na mdogo wake alinipenda, nimpe nafasi nikamwambia kwa sasa nina mpenzi mwingine ambaye ni (mkurya wangu niliyefahamiana humu humu)) akananipromis mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuninunulia gari ya kifahari.

Nikamwambia anipe mda (ikumbukwe ana mke na watoto wa 2) basi tulikunywa sana mwishowe nikamuomba anipeleke nyumbani. Basi tukaingia kwenye gari acha aanze makisi romance sikuelewa chochote

Tukaagana kwamba nitampa jibu leo, kuamka leo asubuhi kantext eti jana aliinjoy sana akinikosa atapata presha, sijamjibu lolote. Of course me huwa nipo wazi sifichi hisia zangu nahisi nampenda pia.

Nishaurini nimpe jibu gani?

Fundo moja tu.........!jiandae na mdogo mtu kwa mara nyingine
 
😛uke:Jambo la kipuuzi likisemwa kiingereza mswahili anaona ni sawa tu. By Mwl,JK Nyerere
 
huyo mwanaume wa jf kalala au anasoma pia hii kitu?
halafu unadate na wanaume wangap kwa mwaka?
 
Nenda tu akubokoe, si mdogo mtu kashaachia mzigo? labda alimwambia una machine nzuri. Kwasababu atakununulia gari ili ku speed up action mpe tigo kabisa kabisaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom