Nimempenda kaka wa x boy wangu

Nimempenda kaka wa x boy wangu

Ua very cheap in evrythn...heshimu mwili wako...unajichoresha sana bidada
Alafu unaweza kudhani ni utani videmu kama hivi uswazi vipo..si unaona kaanza na mliman city.. Kwa ushamba wake anadhani ni sehemu ya juu kweli kaenda...ushamba, umaskini unamaliza vitoto vingi vya uswazi.. Mbagala, kigogo, manzese na mwananyamala...ukikipeleka mlimani city ukanunulia sprite unapewa mpaka tigo siku hiyo hiyo..msaide wasichana wenzenu wajitambue kama ninyi charity..hata hapa jukwaani
 
Alafu unaweza kudhani ni utani videmu kama hivi uswazi vipo..si unaona kaanza na mliman city.. Kwa ushamba wake anadhani ni sehemu ya juu kweli kaenda...ushamba, umaskini unamaliza vitoto vingi vya uswazi.. Mbagala, kigogo, manzese na mwananyamala...ukikipeleka mlimani city ukanunulia sprite unapewa mpaka tigo siku hiyo hiyo..msaide wasichana wenzenu wajitambue kama ninyi charity..hata hapa jukwaani

Ila siafu dume hii ngoma nzito maana sidhani kama ana mpango wa kubadilika.. we huoni anavyo attract wanaompa mawazo mazurii.lakuvunda halina ubanii aisee
 
Mapenzi hayana kujivunga utabaki unaumia tu kwanini hukumkubali na inavyoonekana husikii huambiwi ushafanya maamuzi ya kutoa mzigo kila la kheri ...........mwanaume pesa sura utavumilia
 
Hizo ahadi gia ya kuingilia kwa ukipewa tutumie pic tuione
 
Kiukweli wewe hujielewi umukagame plz jitambue bana unadhani ni picha gani kuwa x wako akijua mna mahusiano na kaka yake pamoja na kwamba mshaachana!
Istoshe si unae mkurya wewe! Tamaa ya nini inayotaka kukupeleka huko? Gari ama kitu! Akili yangu inanituma wewe umeshawishika na promise zake haiwezekani mkutane jana leo useme unampenda tayari!
Let you imagine mdogo wako wa damu akitembea na x boy wako how would you feel? Huo ni ushamba wa mapenzi ulojawa na tamaa! Ukichukia nimekwambia..! Over

Umukagame slow down the pace,you are moving too fast. Ktk utamaduni au desturi zetu za kibongo hicho unachofanya hakikubaliki kabisa. Lau kama umeshindwa kuzuuia matamanio yako(Yes naita matamanio) basi ungepiga kimya kimya bila kuweka bango hapa.
Seriously hujatulia kabisa. Moving from one relationship to another in two week's time,requires God's intervention. Haingii akilini kabisa na hapo Mkurya unampigisha 'collabo'!!!!
 
Last edited by a moderator:
Chezea USAID!..."Ameniahidi mambo mengi ikiwepo kuninunulia gari la kifahari"hapa ndipo upendo ulipoanzia..
Girls we are so cheap sometimes thnk with ur k not with ur head kwasababu hiyo kichwa ishaanza imagine uko ndani ya gari yako utakayohogwa,shoga kidawa atakukoma...
 
Kwan katoa mahari?

Mkurya hata akitoa mahari,you will still continue to chase your dream(An expensive car that has been promised by your shemeji.)

Suala hapa si mahari ila ni principle. Unatokaje na mtu ambaye ni shemeji yako?!! I can bet ukimpa tu hiyo gari utaishia kuiona kwenye car showrooms...
 
Amuhonge gari gani? Kwa hizo si ni nyonjera za kila mwanaume. Ajiulize amewanunulia wangapi hata amununulie yeye. Weshamuona ni mtu wa kupenda makuu lazima waje kwa gia kubwa ya uongo. Yeye agawe tu hata kwa kumleta mkaa wa nyumbani kwao

afu kweli mwanafyale umecheza ki mantic balaa...
washamsoma huyu mama huruma afu wanaume kama ni ndugu/marafiki tulioshibana lazma tupeane michongo kama hii tukiona goma full mdebwedo
 
Last edited by a moderator:
mtoto wa kike heshimu status yako,kuwa expensive bana,sio unajiachia achia tu kwa kila mtu.hata romance sio kitu kidogo kama unavyodhani.probably hata oil alipima
 
Gawaaa tu na huyo mkurya wa humu ana kaziiii
 
Jaman siachwi na kadi ya gari nshapewaaaaaaa
 
we umependa gari huna lolote! Angalia tu asije akakupa gari na gonjwa
 
Back
Top Bottom