Nimempenda kaka wa x boy wangu

Nimempenda kaka wa x boy wangu

Ha haaaa ahsante mkuuu

Sikatai watu kufanya ujinga, ila ujinga ni kujianika ujinga wako hadharani....kuna siku mtu ataji...(imehifadhiwa) kwa kidole kisha aje kuomba ushauri hapa....ujinga sio alichofanya ila kujianika!
 
Shikamooni wakuu,

Jaman apa nshachanganyikiwa kabisaaa sijui kwa nini dunia hainipendi, jana nilienda Mliman city kutembea ghafla nkakutana na kaka wa aliyekuwa mchumba wangu ambae niliachana nae kama two weeks ago.

Katika maongezi yetu akafurahi sana kuonana mie akaniomba nipate dinner pamoja nikamkatalia lakini aliniomba sana mwishowe nkaona any way siyo ishu, basi tukaenda somewhere for dinner.

Baada ya dinner tukaanza kunywa wine na story kibao, mwisho wa yote akaniambia kuwa toka siku ya kwanza aliponiona na mdogo wake alinipenda, nimpe nafasi nikamwambia kwa sasa nina mpenzi mwingine ambaye ni (mkurya wangu niliyefahamiana humu humu)) akananipromis mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na kuninunulia gari ya kifahari.

Nikamwambia anipe mda (ikumbukwe ana mke na watoto wa 2) basi tulikunywa sana mwishowe nikamuomba anipeleke nyumbani. Basi tukaingia kwenye gari acha aanze makisi romance sikuelewa chochote

Tukaagana kwamba nitampa jibu leo, kuamka leo asubuhi kantext eti jana aliinjoy sana akinikosa atapata presha, sijamjibu lolote. Of course me huwa nipo wazi sifichi hisia zangu nahisi nampenda pia.

Nishaurini nimpe jibu gani?

Hii ni story ya Bongo hood? Arushahood! Mbeya Hood au Mwanza Hood?
 
Sikatai watu kufanya ujinga, ila ujinga ni kujianika ujinga wako hadharani....kuna siku mtu ataji...(imehifadhiwa) kwa kidole kisha aje kuomba ushauri hapa....ujinga sio alichofanya ila kujianika!

Ha haaa Ni kweli kabisa mtu anafanya uchafu kama huu na anauanika kana kwamba ni jambo jema bora kukaa kimya tu.
 
Msambenugwa.......Tamaa tu na njaa zimekujaa, Yani na ujanja wote huo mpaka leo huna gari unasubiria la kuhongwa na mume wa mtu/xshemeji tena mwenye watoto wawili..KAMA SHIDA TUMEZALIWA NAZO NJAA ISIWE KIKWAZO BWANA.Peleka njaa zako huko.. MAZACOKAA
 
Hizo hisia zinaanzia wapi jamani kama sio ukahaba huo. Anyway chukua hii.

Lakini kumbuka, ukiona msichana anarukaruka sana yaani anabadilisha wanaume mara leo

huyu kesho yule basi ujue ana nyota ya
popcorn."

Hahaaaaaaaaaaa,et nyota ya popcorn, me hoiii
 
Msambenugwa.......Tamaa tu na njaa zimekujaa, Yani na ujanja wote huo mpaka leo huna gari unasubiria la kuhongwa na mume wa mtu/xshemeji tena mwenye watoto wawili..KAMA SHIDA TUMEZALIWA NAZO NJAA ISIWE KIKWAZO BWANA.Peleka njaa zako huko.. MAZACOKAA

Maniner wewe magari nabadilisha daily ila ni ya kawaida not like the expnciv 1 alonpromic
 
..mwanaume, uki date character kama hii umejipaka laana...khaaaa!!!
..mwanamke gani usiyeona aibu, kuanika uchafu wako hivi..
 
Back
Top Bottom