Nimempenda kaka wa x boy wangu

Nimempenda kaka wa x boy wangu

dada mzuri huyo mkurya wa humu hatakucharanga mapanga kweli
 
Hizo hisia zinaanzia wapi jamani kama sio ukahaba huo. Anyway chukua hii.

Lakini kumbuka, ukiona msichana anarukaruka sana yaani anabadilisha wanaume mara leo huyu kesho yule basi ujue ana nyota ya popcorn."
Sibadilish wanaume
 
Kiukweli wewe hujielewi umukagame plz jitambue bana unadhani ni picha gani kuwa x wako akijua mna mahusiano na kaka yake pamoja na kwamba mshaachana!
Istoshe si unae mkurya wewe! Tamaa ya nini inayotaka kukupeleka huko? Gari ama kitu! Akili yangu inanituma wewe umeshawishika na promise zake haiwezekani mkutane jana leo useme unampenda tayari!
Let you imagine mdogo wako wa damu akitembea na x boy wako how would you feel? Huo ni ushamba wa mapenzi ulojawa na tamaa! Ukichukia nimekwambia..! Over
 
Last edited by a moderator:

Oay nmekuelewa
 
Last edited by a moderator:
Umeachana na mdogo mtu only. 2 weeks ago tayari umeshanyonywa mate na kaka mtu na pia una mtu tayari. kama sio kubadilisha wanaume ni nini sasa?????

Sijajua ni wapi nisimame
 
Back
Top Bottom