Nimempenda baba yake zaidi

Faidi wote mama kipapai c chako, mie iliwai nitokea demu kapishana na mama yake 17yrs coz mama yake alipata mimba akiwa form two sasa anakuja nitambulisha mama yake sikuamini mwisho wa siku na mama naye akanipa tunda la mti wa kati , kama kawaida hayafichiki , mpaka leo mama na mwana hawaivi sufuria moja. Kumbe mm sikuwa wa kwanza [emoji12]
 
Wakati huku vijana tunapelekesha huku vidigi vinakula Zari la mentali. Kuna dalili za kuweka rangi nyeupe kichwani kupata Zari za kupendwa.[emoji12] [emoji6]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ukiwa na pochi yenye afya mkuu wala huhitaji rangi nyeupe kichwani, mazali ya kumwaga tu.
 
Utakapomchana dogo kwamba umetokea kumuelewa mzee kuliko yeye alafu mzee akakutolea nje ndo utakapozalilika
 
Utakapomchana dogo kwamba umetokea kumuelewa mzee kuliko yeye alafu mzee akakutolea nje ndo utakapozalilika
Ninapotea katika uso wa dunia yao, na nikikutana na mmoja wao ninakauka, hata akiita Sky, ninamkazia macho unamwita nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…