Nimempenda baba yake zaidi

Ewalaaaa!
Wengine huwa ni njia tu ya kutufikisha kule kuzuri zaidi.
Ni kweli lakini haiwi kwa mtoto mtu baba na wewe mtakua mmenikosea heshima na mimi ntaiharibu kabisa
 
Samahani mkuu naomba niulize kabla sijatoa ushauri zaidi,kwani baba nae alimwaga vocal au wewe tu ndo umeamua kumshobokea mshua?
Baba hajapata to platform kwakua kijana wake alikuwepo lakini kijana aliens a Chopin maongezi yanaflow
 
Umri wako vipi, kijana alidata kwa kibibi au? Maana mpaka umtake dingi ake manake umri nao unashabihiana na dingi
 
Haloo ya "mtu mzima dawaa".

Una laana wewe. Nyumbani nikulete mimi, baba yangu umtake wewe?

Hivyo ulivyokuwa unamsifia nikafikiri unamsifia kwa niaba yangu tu.
 
Ha ha ha ha mie madam alinvuruga kajaa kwa swaga za mshua tena dah

Huyo unaemuita bora mim tu ila acha aje Daby kuja hapa
hahahahahah acha aje bhana asaidie cause I can't you kabisa
 
Dah ngoja nitafakari kwanza kabla sijasema jibu la maana ila kwa haraka haraka nakuona wewe ni tax bubu
 
Nikiangalia kwenye radar yangu naona jinsi umri wako unavyoenda kwa kasi!.......endelea kufanya mzahaa na maisha ya mahusiano, belive me the days of horror are coming![emoji22]
 
Nikiangalia kwenye radar yangu naona jinsi umri wako unavyoenda kwa kasi!.......endelea kufanya mzahaa na maisha ya mahusiano, belive me the days of horror are coming![emoji22]
Na hiyo radar yako unaiamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…