Nimempenda aliyejaliwa_zaidi anapenda mazoezi

Pomole

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
257
7
Huyu m-dada ni mojawapo wa kuwa mifano ya kuigwa!!Wanawake wengi hawapendi kufanya mazoezi hata kujinyoosha kwao ni tabu!Unaweza kujiweka freshi hata ukiwa chumbani mwako.Nadhani ndio maana ana shepu inayovutia wanaume wengi!!Maksi zangu za juu amepata,mpeni zenu wadau

0016053Um9G.jpg 0015053Um9G.jpg 0010053Um9G.jpg 000Z053Um9G.jpg 000X053Um9G.jpg 0011053Um9G.jpg
 
Yes nimemkubali maana kwa umbo lake ni wanawake wachache sana ambao wana uwezo wa kufanya mazoezi kama huyu
 
nia yako sio kutuonesha mazoezi, ni kumdhalilisha tu!, mbona hukuweka hizo alizokua amevaa tu?? We ni fisadi mwathilika wa picha za uchi!
 
Duh kwa kweli uzito si tatizo tatizo uzembe, huyo atakuwa Mnyakyusa au Muhehe, pamoja na kujaza lakini yupo flexible physically fit!! English figure waachiwe waEnglish wenyewe na wanaofanana nao siye wala ugali na matoke hata tule mara moja kwa siku mbili wapi hakuna kuslim.
 
Na hiyo reception nayo sasa ataifanyeje? na yenyewe aifanyie mazoezi??? just kidding
 
mnh mbona ana kitambi kama mie tu? hayo mazoezi hayamsaidii mwambie lol...ila seriously huyo akikukaba kabali hutoki.lol:spider:
 
Huyu m-dada ni mojawapo wa kuwa mifano ya kuigwa!!Wanawake wengi hawapendi kufanya mazoezi hata kujinyoosha kwao ni tabu!Unaweza kujiweka freshi hata ukiwa chumbani mwako.Nadhani ndio maana ana shepu inayovutia wanaume wengi!!Maksi zangu za juu amepata,mpeni zenu wadau

View attachment 24426View attachment 24425View attachment 24424View attachment 24423View attachment 24422View attachment 24421

Mkuu alikutisha nini ulipotaka kumzima chenji yake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom