Nimempa mimba mwanafunzi, natamani kuitoa

Nimempa mimba mwanafunzi, natamani kuitoa

Kitu huyo mwl hajui kuwa kulala na mwanafunzi wako ni dhambi. Pili inaleta doa kwa chuo. Wengine wa mabinti wa chuo ni under 18, hivyo miaka 30 inamnyemelea. Best option ni kuikwangua tu
Sacrifice inahitajika ila aache upuuzi
Kosa la kwanza kuwa na mahusiano sehemu yake ya kazi
 
Pole Sana.

Usimshauri atoe mimba.

Kupata Mtoto/Watoto sikuhizi imekuwa changamoto kwa Watu wengi na huenda huyo ndio Mtoto wa pekee kwako.

Ongea vizuri na huyo Binti umuulize hali ya Wazazi wake vipi wakijua, kama Watakuelewa wazazi basi umuoe tu mlee mtoto na Uongozi wa Chuo ujue kuwa mnaishi pamoja au mna mpango huo wa kuishi kindoa.
 
Ndio maana nikamwambia kama ana uhakika demu anampenda kweli basi atumie njia hii, hapo ni kumlainisha kwa maneno matamu na malengo makali.
Halafu demu akikubali, jamaa ajitahidi kutembea kwenye maneno yake.

Kwa huyo padri, usikute ni aidha mshikaji hakumpanga demu vizuri, au baada ya kumpanga mshikaji akaanza kuzingua.. ama alikuwa anadate mwendawazimu, kuna mademu wengine ni vichaa, vichwa vyao ni vibovu hatari
Demu ndo chiz...sasa sjijaua wa huyo ticha yukoje
 
Mzeebaba tulia tu nenda tu kwao jitamburishe kama umempenda weka mke ndani, mpike
 
mwambie akiulizwa mimba ni ya nan aseme kwamba kuna mwanafunzi wa shule jirani alimutia na akiulizwa jina aseme aliniambia anaitwa fulani alitaje jina moja mfano aliniambia anaitwa merama hakuniambia jina la mzazi wake harafu afanye juu chini wazazi wajue mimba ikiwa ni kubwa ambayo haitatoka
 
Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,

Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena

Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU

Vipi kuhusu nyinyi??
Ahsante
Kama umempa mwambie airudishe uibebe mwenyw
 
Wahi kituo cha polisi mwenyewe kabla hujakuja kukamatwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom