Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,
Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena
Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU
Vipi kuhusu nyinyi??
Ahsante
Ishatokea mtaan jamaa alikuwa anasomea upadr ...kashafikia stag ya kuvalishwa na mkanda ...akajaza mtt wa watu mimba...kachukua msela ajifanye ndo baba mtot ili mambo yakikaa sawa atakuja awafungulie biashara....saaa ngap bint hajaeneza mtaan kuwa ile mimba si ya msela ni ya shemasi....ndoto za jamaa zikaishia hapo akaishia kunywa pombe+ sonona....ponapona yake akajitokeza padr kampeleka ulaya huko atleast sasa hiv karudi kweny hali ya kawaida...hapa naona pia kama huyo bint hana siri atajakichafua tu kumwaribia jamaaHebu kaa chini ongea nae mtapata ufumbuzi..
Kama anakupenda kweli ongea nae, ni kweli upo pamoja nae na mimba utalea..
Cha kufanya kwao mdanye MABONYE.
ongea na mwanao wa daaamu kabisa, muelezee situation, kisha yeye ndio atajwe kama mwenye mimba, ila wewe ndio utakuwa unahudumia fresh.
Ni chuo gani hicho? Hebu kitaje basi ili nikutumie haraka kikosi cha uokoaji.Level 5 mkuu
Yeye hana usemi kaka issue wazazi wakija chuo nikijulikana KAZI sina tena
Ndio maana nikamwambia kama ana uhakika demu anampenda kweli basi atumie njia hii, hapo ni kumlainisha kwa maneno matamu na malengo makali.Ishatokea mtaan jamaa alikuwa anasomea upadr ...kashafikia stag ya kuvalishwa na mkanda ...akajaza mtt wa watu mimba...kachukua msela ajifanye ndo baba mtot ili mambo yakikaa sawa atakuja awafungulie biashara....saaa ngap bint hajaeneza mtaan kuwa ile mimba si ya msela ni ya shemasi....ndoto za jamaa zikaishia hapo akaishia kunywa pombe+ sonona....ponapona yake akajitokeza padr kampeleka ulaya huko atleast sasa hiv karudi kweny hali ya kawaida...hapa naona pia kama huyo bint hana siri atajakichafua tu kumwaribia jamaa
Usiingir dhambi ya kutoa mimba.Daaah hili nalo neno
Nikitoa Mahari kaka inawezekana kuwa protective mechanism kwangu juu ya hiki kibarua?
Mallerina na Mbaga JrMbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,
Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena
Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU
Vipi kuhusu nyinyi??
Ahsante
Mshamba huyo demu wako, si anakuficha anawambia mwenye ujauzito kakimbiaLevel 5 mkuu
Yeye hana usemi kaka issue wazazi wakija chuo nikijulikana KAZI sina tena
Mimi hapa nahusikaje kwanza
Hivyo vyuo unasimamishwa, pale dom DC college Kuna madogo walipeana mimba wakatimuliwa wote, Sheria za kijinga sanaWe kivyovyote ongea vizuri na huyo dada, Sijui utaratibu upoje huko vyuo vya kati kwa akipata mimba atasimamishwa masomo?
Jiandae kwenda kushikwa Makalio yako Jela ambapo ukifanya Mzaha unaweza kupakwa Mafuta vile vile Unyabengani kwako na Masela ukiwa huko.Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,
Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena
Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU
Vipi kuhusu nyinyi??
Ahsante
Nilitaka uone jinsi vijana walivyo wabinafsi. Anataka ajitoe katika msala amwachie Binti. Solution ni moja tu abortionMimi hapa nahusikaje kwanza
Anza kutafuta ajira nyingine mkuu.Private kaka
waleeeee haoNilitaka uone jinsi vijana walivyo wabinafsi. Anataka ajitoe katika msala amwachie Binti. Solution ni moja tu abortion
Kitu huyo mwl hajui kuwa kulala na mwanafunzi wako ni dhambi. Pili inaleta doa kwa chuo. Wengine wa mabinti wa chuo ni under 18, hivyo miaka 30 inamnyemelea. Best option ni kuikwangua tuwaleeeee hao
Akijitoa sijui Binti atakiwa amepata mwanaume Gani huyu