Nimempa mimba mwanafunzi, natamani kuitoa

Huyo sio mwanafunxi, huyo ni mwanachuo.. mie nikajua ni wale wa 5×6.

Mzeebacha ufala, wqkati unampiga pumbu ulikuwa unajua consequences zake.
Be responsible, fanya uJENNTOLAN.
lea mimba,
Unataka kuwa baba wa MAREHEMU?
Kaka tatizo nahisi ntakosa ajira kama itajulikana kuwa ni mimi nimempa mimba mkuu wa chuo hawezi kuniacha Salama
 
Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,

Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena

Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU

Vipi kuhusu nyinyi??
Ahsante
badala ya kuwaza njia z kuikimbia, waza namna gan mtafika makubaliano pande zote 2
 
Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,

Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena

Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU

Vipi kuhusu nyinyi??
Ahsante
Mwaka wa 5 ktk ndoa sijafanikiwa mtoto, nikiona watu wanawaza kutoa mimba naumia Sana.
 
Kaka tatizo nahisi ntakosa ajira kama itajulikana kuwa ni mimi nimempa mimba mkuu wa chuo hawezi kuniacha Salama
Hebu kaa chini ongea nae mtapata ufumbuzi..
Kama anakupenda kweli ongea nae, ni kweli upo pamoja nae na mimba utalea..
Cha kufanya kwao mfanye MABONYE.
ongea na mwanao wa daaamu kabisa, muelezee situation, kisha yeye ndio atajwe kama mwenye mimba, ila wewe ndio utakuwa unahudumia fresh.
 
Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,

Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena

Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU

Vipi kuhusu nyinyi??
Ahsante
Sisi tunawaza kulikomboa Taifa, wewe unawaza ngono
 
Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,

Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena

Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU

Vipi kuhusu nyinyi??
Ahsante
 
Hebu kaa chini ongea nae mtapata ufumbuzi..
Kama anakupenda kweli ongea nae, ni kweli upo pamoja nae na mimba utalea..
Cha kufanya kwao mdanye MABONYE.
ongea na mwanao wa daaamu kabisa, muelezee situation, kisha yeye ndio atajwe kama mwenye mimba, ila wewe ndio utakuwa unahudumia fresh.
Ntafanya hivi mkuu ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom