Nimempa mimba mwanafunzi, natamani kuitoa

Nimempa mimba mwanafunzi, natamani kuitoa

Ipo siku TU

Member
Joined
Nov 26, 2025
Posts
38
Reaction score
91
Mbaya zaidi ni Mwalimu wa chuo cha kati na mwanafunzi ni wa chuo cha kati,

Natamani nimwambie atoe kwasababu wazazi wake wakijua watakuja chuo na wakija basi sijui kama ntakuwa na KAZI tena

Wakuu naombeni ushauri nitumie njia Gani kuepuka hii hali wazo langu nifanye atoe mimba TU

Vipi kuhusu nyinyi??
Ahsante
 
Jambo dogo sana hilo! We mpange vzr ongea nae kiume, mwambie kadi ya kliniki aandike jina la mtu mwingine, mpatie bima ya afya, mpe uhakika wa kumtunza kipindi chote & maintain mawasiliano mazuri nae.

Endelea kumkaza kimya kimya.
 
Huyo sio mwanafunxi, huyo ni mwanachuo.. mie nikajua ni wale wa 5×6.

Mzeebacha ufala, wqkati unampiga pumbu ulikuwa unajua consequences zake.
Be responsible, fanya uJENNTOLAN.
lea mimba,
Unataka kuwa baba wa MAREHEMU?
 
Back
Top Bottom