themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
Wanawake bwana, huyu binti baada ya kuona hana A wala B nikaoa kupunguza usumbufu wa kuombwa hela nimuweke kwenye biashara zangu, kwa siku namlipa 15000, hali ikiwa ngumu mara chache 10000, hapo nauli kula kila kitu ni juu yangu, akirudi kwao ni kulala tu na halipi kodi.
Na kazi yenyewe nikiamua kuifanya mwenyewe uwezo upo sema nimemchukua tu asikae bila kazi na nikaboresha maslahi yake ili apate pesa ya kutosha
Sasa hapa kati kati kukaibuka maneno maneno kuwa siku hizi simpi hela ya matumizi eti, nikashangaaa sana na ananuna
Kitu nilicho experience ni kwamba wanawake hawaridhiki kabisa
Au mnanishauri nini
==============================
==============================
Kaka kazi ni nyepesi bora hata ingekuwa ni ngumu na mwanzo nilikuwa nafanya peke yangu kipindi hicho nilikuwa nampa matumizi 30,000 kila week mean kwa mwezi 120,000
Kwa sasa nikamchukua nampa around 320,000 hadi laki 450,000 kwa mwezi na ile 120,000 ya tozo au matumizi anaitaka bado nimechoka