Nimempa kazi mshahara 15,000 kwa siku ila ananilalamikia simpi pesa ya matumizi

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
597
2,089
Wanawake bwana, huyu binti baada ya kuona hana A wala B nikaoa kupunguza usumbufu wa kuombwa hela nimuweke kwenye biashara zangu, kwa siku namlipa 15000, hali ikiwa ngumu mara chache 10000, hapo nauli kula kila kitu ni juu yangu, akirudi kwao ni kulala tu na halipi kodi.

Na kazi yenyewe nikiamua kuifanya mwenyewe uwezo upo sema nimemchukua tu asikae bila kazi na nikaboresha maslahi yake ili apate pesa ya kutosha

Sasa hapa kati kati kukaibuka maneno maneno kuwa siku hizi simpi hela ya matumizi eti, nikashangaaa sana na ananuna

Kitu nilicho experience ni kwamba wanawake hawaridhiki kabisa

Au mnanishauri nini


==============================
==============================

Kaka kazi ni nyepesi bora hata ingekuwa ni ngumu na mwanzo nilikuwa nafanya peke yangu kipindi hicho nilikuwa nampa matumizi 30,000 kila week mean kwa mwezi 120,000

Kwa sasa nikamchukua nampa around 320,000 hadi laki 450,000 kwa mwezi na ile 120,000 ya tozo au matumizi anaitaka bado nimechoka
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
21,071
57,654
Wewe ikitokea unamwanamke ana Kazi yake inayompa Kipato chake.

Utaacha kumuhudumia kwakua ana kipato chake ?.

Nilichokiona kwako ni UMASIKINI...Unaotaka kuhamishia kipato anachokipata Kwa kazi yake, kama ndio malipo ya yeye kukupa mbunye .

Ipo hivi, Kwakua anatumia Muda wake na nguvu zake kufanya kazi , basi Kazi ni lazima ILIPWE .

Na Kwakua ukiwa na nyege unaenda kupunguza shahawa zako kwake, Basi Lazima uendelee kumpa Pesa ili naye ajitunze apendeze ili aendelee kukupa mbunye Kwa uzuri
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
21,071
57,654
15000*30=450,000....

Unao uwezo was kumlipa Mshahara Laki Nne na Hamsini Kwa Mwezi .

Hii Pesa anaipeleka kwenye Mahitaj yake, Biashara yake, Ndani kwake kupendeza, Vikoba

JF Ina mambo ya ajabu sana, Una uwezo wakumlipa mtu Mshahara wa laki Nne hamsini Kwa mwezi, alafu unafungwa Uzi kulia lia humu Et óhooo 'Anadai simjali'..

Nina hakika Hata iyo pesa ya matunzo ulikua unampa Haifiki laki Nne na Hamsini Kwa Mwezi

Naam, ikiwa ni hivo , kwann ulie kisa laki mbili ????.

Huu Ndio Uboss wa JF Ndugu zangu !!
 

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
597
2,089


Mwanamke akifanya kazi akapewa Mshahara, huna haja ya kumpa pesa. Unampa pesa ya nini sasa?
kaka kazi ni nyepesi bora hata ingekuwa ni ngumu na mwanzo nilikuwa nafanya peke yangu kipindi hicho nilikuwa nampa matumizi 30,000 kila week mean kwa mwezi 120,000

kwa sasa nikamchukua nampa around 320,000 hadi laki 450,000 kwa mwezi na ile 120,000 ya tozo au matumizi anaitaka bado nimechoka
 
4 Reactions
Reply
Top Bottom