Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

Rudisha Vitz kamnunulie kiSANLG apigie route kitaa...
 
Eti ndo mana sitaoa mwanamke maskiin
Nimecheka mpaka bac
 
Mpe zote ila sio kadi za gari panda hiace na boda maanayake mapenzi niue
 
Hivi mtani mimi na wewe tuligombana? Hebu niambie ni kuletee vitaz au Range ili ugomvi watu uishe?
 
Wazazi wako wanatembelea usafiri gani?.. kama hawana, wape wazee watembee kukaa, huyo muache aendelee kuchagua tu.
 
Jamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.

Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?

Hana! Mnunulie bajaji
 
we boya kweli, yaani mtu umekutana naye ukubwani nywele zishakuota kila eneo then akusumbue akili
 
Mpee tena kichange umuongezee na Range au Prado la Daimond!!
Anakupenda huyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…