Hebu tuache na chai zetu......
Kwanza kapaki ki-passo chako...tuache na ma-klugger yetu
Hivi mtani mimi na wewe tuligombana? Hebu niambie ni kuletee vitaz au Range ili ugomvi watu uishe?Mmmmh!! Kwani we unaonaje? Maana ni mchumba wako na magari ni yako pia, we ndio waishi nae wamjua vyema kuliko sisi, kwani ulimshirikisha kabla hujamnunulia hilo gari?? mayb hapendi vitz, kaa nae ongea nae muulize sababu ya yeye kutaka hilo gari lako, then we mtu mzima bwana utajua kuchuja jema na baya.
Teh Teh yale ya kina Babarita...Muache fredericko na mapenzi ya kinaalehandro Besti.
Inategemea na maumbile yake huyo shemeji mtarajiwa...!!
Kama kajaaliwa mashallah vitz haimfai...
Vitz kw Miss...
Jamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.
Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?
Hebu tuache na chai zetu......
Kwanza kapaki ki-passo chako...tuache na ma-klugger yetu
Kwa hiyo kama kajaliwa"ukuu wa wilaya" vitz haimfai? Basi amnunulie "shangingi" awe juujuu
Nataka nikununulie Toyota murano
Nataka nikununulie Toyota murano