Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

unamwita nani? kamanimesikia vibaya fianceee? aisee fanya hivi hiyo vitz weka hapa tununue halafu piga chini hiyo kimeo.. itakusumbua sana aiseee ....

Teh teh teeeeh ushauri mzuri ila mbovu, kuanza kusaka mwingine sio rahisi mwache mwanamke mwenzio atembelee matako.
 
liko poa mkuu,sio mbaya uko vizuri!!!!so ukifananisha hiyo ndinga yako ambayo mimi kibongobongo ipo poa na wenzako huko huoni kwa hadhi ya huko hiyo ni kama ka vitz tu huko???au unasemaje mkuu

Hapana. Hapana kwa sababu hata huko vigari dizaini ya Vitz vipo.

Huwezi kulinganisha ki-Ford Focus au Hyundai Excel na Infinity Q60 Coupe!!
 
We ----- mchumba unampa vitz? Alafu atakuja kuolewa na kidume kingine kenge we
 
Jamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.

Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?

Hhahahahahahahaaaaa daaah nimejikuta nacheka looh poleee..
Ila ngoja nikuibie siri ya kike, .............nakunong'oneza wengine wasisikie loooh

(huyo anataka dozi nzito kitandani, mfanye weeeh hadi akose hamu hat ya kuendesha gari)

halafu kama wote ni waajiriwa na mnaelekea ukanda mmoja yaani asubuhi mnatoka wote home na jioni mnarudi wote home tumieni gari moja itawaweka karibu zaidi.

Akiendelea kununa mnunulie bajaji au boda boda atakuwa anaogopa kuchomekewa na madaladala huyo barabarani.

Ila kuna watu hawana shukrani, yaani waschana kibao huku mtaani wanatamani wapate mpenz kama wewe wanunuliwe hiyo vits tuu watulie nyumbani halafu huyo analeta za kuleta khaaaa.

Ningekuwa mie mwanaume ningemuuliza, are you serious??
 
Naona umerudia kabisa kuonesha msisitizo
Daaaaaah

Hapana, wala sikurudia kwa sababu hiyo.

Kurudia kwangu huko ni kuzingua tu.

Hivyo umekosea kabisa kudhani nimerudia ili kuonyesha msisitizo.

Kusadiki mambo siyo vizuri. Ni heri ukauliza kwanza.
 
Naomba kuuliza wenye uzoefu na magari gari yenye 1.2 Litre Petrol Engine, wanamaanisha nini?
 
jaribu kumnunulia bike, tuone itakuaje, usipuuze huu ushauri
 
Achana nae!!!
Asoshukuru kwa kidogo hata kikubwa hatashukuru!!!
Kamwe hatoridhika hata umpe Roho yako km utaweza!!!
 
Mmmmh!! Kwani we unaonaje? Maana ni mchumba wako na magari ni yako pia, we ndio waishi nae wamjua vyema kuliko sisi, kwani ulimshirikisha kabla hujamnunulia hilo gari?? mayb hapendi vitz, kaa nae ongea nae muulize sababu ya yeye kutaka hilo gari lako, then we mtu mzima bwana utajua kuchuja jema na baya.
 
Jamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.

Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?

Mi nilimnunulia wangu(spacio new model) akakasirika na kunambia bora nijenge nyumba gari baadae sana.
 
Back
Top Bottom