Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

Kwani duniani wanawke wameisha. Huyo siyo wife material. Huyo ni mpenda pochi tu. yawezekana ana mwingine, hivyo anataka apime nguvu ziko wapi zaidi.
 
Naomba nikupe ushauri. Ni wewe kuamua.
Kwa kuwa bado si mkeo ni mchumba usimnunulie gari, lkn kam una uwezo w kutosha kifedha mnunulie hiyo VITZ wala usimpe gari yako. Mwanamke hata akupende sana akiwa na gari ya kifahari utalia kama mtoto mchanga bila kupenda.
 
Dah!!
Nilikurupuka kutoa ushauri. Sikusoma vizuri uzi, kumbe umeshamnunulia gari tayari. Hapo ushari wangu usimpe gari yako iwe mali yake bali mnaweza kubadilishana tu kwa kutembela. Nadhani umenisoma mkuu. Big up kumjali fiance wako, ila ukipigwa chini USILIE
 
Hukupaswa hata kuomba ushauri humu.....umechelewa kimbiaa hafai huyo
 
kaka ngabu kwani huko us unasukuma ndinga gani?si ajabu gari lako unaloendesha huko us tukifananisha na wenzako wa huko ni kama unaendesha unaendesha hivi vigari vyetu na wewe

Una uhakika mimi niko huko US?

Kama nadanganya je?

Manake naweza kabisa kuwa Lamadi halafu nabandika vitu humu kama niko US ilhali ukweli wa mambo sipo huko.

Kama unaamini mimi niko US basi pia amini na hili: mimi naendesha 2015 Infinity Q60 Coupe.

Kitu hicho hapo. Nilikitoa kwa dealer kikiwa na mileage 2 tu huku viti vikiwa vimefunikwa manailoni.

Q6C.jpg
 
uza vitz hela fanya mambo ya kimaendeleo mwache atoboe soli kwenye lami abanane kwenye daladala limtoke jasho la kwapa.... hayo si mapenzi ya dhati.... sema niko vibaya kifedha ningenunua hiyo vitz na mimi niongeze foleni mjini...
 
Jamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.

Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?

uwa nina dharau kwa vitu fulani ila naheshimu zawadi kuliko kitu chochote yaan hata kama ni ya buku it realy mean smthing huge to me. Kama anakupenda aipokee kwa moyo maana kama umeweza kumpa vits hata verossa atapata. Ongea nae.
 
Ukiona ivyo ujue unashindanishwa. Kuna mtu keshamtongoza na kesha ahidi kumpa Rav4 Kill time. Sasa ukimnyima Kluga uwe tayari kumpoteza na yeye.
 
Uza hiyo Vitz mwambie utatafuta hela ya kumnunulia Krugger yake. Akiendelea kubaki na wewe miaka 2 bas anafaa kuoa
 
Una uhakika mimi niko huko US?

Kama nadanganya je?

Manake naweza kabisa kuwa Lamadi halafu nabandika vitu humu kama niko US ilhali ukweli wa mambo sipo huko.

Kama unaamini mimi niko US basi pia amini na hili: mimi naendesha 2015 Infinity Q60 Coupe.

Kitu hicho hapo. Nilikitoa kwa dealer kikiwa na mileage 2 tu huku viti vikiwa vimefunikwa manailoni.

Q6C.jpg

liko poa mkuu,sio mbaya uko vizuri!!!!so ukifananisha hiyo ndinga yako ambayo mimi kibongobongo ipo poa na wenzako huko huoni kwa hadhi ya huko hiyo ni kama ka vitz tu huko???au unasemaje mkuu
 
Back
Top Bottom