Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

hahha hizi kesi zingine bhana !
usimpe...
next pliz...
 
Teh teh teeeeh ushauri mzuri ila mbovu, kuanza kusaka mwingine sio rahisi mwache mwanamke mwenzio atembelee matako.
kutembelea matako siyo tatizo tatizo ni anachagua kikalio loh .. huku anauwezo wa kukinunua mwenyewe
 
No real love anataka akatanue nayo mitaani
 
Mtoa mada naomba nikufundishe vitu viwili ili vikusaidie maishani mwako mchumba hanunuliwi gari wala hasomeshwi ukifanya haya mawili kuna siku utalia mdomo juu kama mbwa aliyeona mchawi.
 
watch out usife ----,,there are so many pretty ladies out there,,mimi sheria yangu no 1 sidate demu maskini,,,

Hahahah... daah ww jamaa nimejikuta nipo interest nawewe...
manake huo ndo mpango wangu pia
 
unamwita nani? kamanimesikia vibaya fianceee? aisee fanya hivi hiyo vitz weka hapa tununue halafu piga chini hiyo kimeo.. itakusumbua sana aiseee ....
Huo ndo ushauri gani sasa wewe unaweza??kama ujablock na namba yake!
 
Hivi hawa wanawake wa dizaini hii mnawapatiaga wapi?? Mbona mimi cjawahi kukutana nao..
 
Huo ndo ushauri gani sasa wewe unaweza??kama ujablock na namba yake!
naweza kufanya hivyo ... lakini pia siwezi mnunulia mchumba kitu kinachozidi laki moja never on earth..... ukileta ujinga ujinga nakublock
 
Hahahah... daah ww jamaa nimejikuta nipo interest nawewe...
manake huo ndo mpango wangu pia

bro,,mie toka nipo chalii huo ndo mfumo wangu wa mfumo wangu wa maisha,,imenisaidia sana kwani katika circle yangu ya ladies ninaowafahamu hakuna mwenye mambo ya ajabu,,
 
Back
Top Bottom