Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

Jamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.

Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?

Kama angekuwa mke,hata ukimpa yote mawili ni sawa,ila huyo fiancee hapana,usifanye hivyo.
 
hivi sisi wanaume tumelogwa? na nani?....gari zako ,,,demu wako....vyote wewe ndo umevitafuta.......maliza shughuli kimya kimya mangi....

Baadhi ya wanaume wamelogwa na CCM mkuu.
 
shamba la bwana heli na ngombe wa bwana heli unataka kesi ammue nani sasa hapo
 
Yaani fiance anakuendesha hivyo...............ukimuoa si atakushikia kichwa chako kabisa, act like a MAN
 
Jamani yamenikuta! Fiance wangu nimemnunulia Vitz mpya hataki anataka nimpe Klugger yangu mi ndo nichukue Vitz.

Ana mapenzi ya dhati kweli huyu?

ukimu0a atakuja kukwambia hataki kumu0na mamaako nymbni kwenu! Hv mwanamke anapata wapi kwnza jeuri ya kukataa ulich0mnunulia kwa pesa zko mwnyew? Hayo ndo matatz ya kuanza mapenz na miaka 35, eti hataki.. Weee... Cjui hawa wanawake mnawa0naje nyie watu wengne.
 
Back
Top Bottom