Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

But leo ndo nimejua corruption has a positive side
Nyerere alishaligundua hilo Malaysia na hao Tigers wengine uchumi wao umejengwa na mjitu corrupt lakini walioamua kuwa wazalendo wakawekeza na kujenga kwao. Wa kwetu wananunua mitaa Australia na London au Afrika ya Kusini.
 
Lazima tuombane poo safari hii na hii nchi yetu sote wote tunategemeana kwa kila hali hakuna anae toka Afghanistan hapa.
 
Hili sasa goli; akiwazukia tena mtaanza kulia "ooh kwanini aje yeye, si awaache watu wa chini yake; anafuatilia sana, haamini watendaji wake"... lakini kama mimi ningekuwa wewe nisinge bet dhidi ya Magufuli...
Mkuu Pole Nafasi za Uteuzi wa Bure zimefungwa?
 
Kaisha weka team yake naona haoni kwa nn aende tena kwa kushitukiza.... ila maisha bado vilevile tu...
 
Kuna wawekezaji wa viwanda wamekuja na jana walienda kumwona mkuu, waliweka wazi kuwa kiwanda kitaanza kazi AFTER 40 YEARS jamani ninyi ten months tu mmechoka! Lets wait angalau ipite 39 years then Tz ya viwanda itakuja
 
hahahaha! hii noummmaa
 
Hizi zilimpa umaarufu sana kipindi cha mwanzo cha uongozi wake. Watu wakamshangilia wakisema hili ni jeshi la MTU mmoja.

Maofisini watu walikaa chonjo kwa kudhania muda wowote angeweza kuibukia ofisi yoyote ile. Kwa sasa sizisikii tena hadi nimezimiss. Maofisini sasa ni bata.
kwa sasa anajipanga kwa ajili ya kubomoa ukuta
 
tmp-cam-881461643.jpg
 
Sehemu za kushtukiza zimekwisha au nikwambie walengwa wamekwisha, kwani utumbuaji upo?
 
Hizi zilimpa umaarufu sana kipindi cha mwanzo cha uongozi wake. Watu wakamshangilia wakisema hili ni jeshi la MTU mmoja.

Maofisini watu walikaa chonjo kwa kudhania muda wowote angeweza kuibukia ofisi yoyote ile. Kwa sasa sizisikii tena hadi nimezimiss. Maofisini sasa ni bata.
"NO CONDITION IS PERMANENT "
 
Wewe unapaswa kuwa na aibu na kuacha hata kuni quote ...
ulibisha hapa kuwa bandarini meli hazileti mizigo kama zamani
hadi taarifa rasmi ikatoka kukiri hilo tatizo badala ya hata kuomba radhi
unashupaa tu kutetea pumba humu

Bimafsi nilisha kudharau sana....

Haha mkuu yaani ulikua unamchukulia serious MsemajiUkweli ? Hahahah huyu aliyesema Sabodo atawekeza Dodoma dola billion tano za marekani? Bila akili ya kuchanganua ukubwa wa hela hiyo kwa sabodo?

Aisee huyo na toilet paper ni afadhali ya toilet paper!!
 
Huyu na Rutashoblwa natamani mods wangezuia wasini quote....
hawa ni zaidi ya uchafu humu
 
Back
Top Bottom