Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

Muda sii mrefu naye ataanza kuangalia maslahi yake ya kustaafu zaidi
 
Hahaha #Hapa kufyatua tu! Jamaa alidhani kuongoza nchi ni kama kusimamia makandarasi wa mapaarapara. Anadhani waliomtangulia walikuwa hawapendi nchi iendelee kwa kasi? Linchi likubwa hili, linataka mipango na utulivu hasa! Waliomtangulia hawakuwa wajinga na wazembe kihivyo!
 
hahahaha! acha acheze kwaito hadi atasalenda tu
 
Hili sasa goli; akiwazukia tena mtaanza kulia "ooh kwanini aje yeye, si awaache watu wa chini yake; anafuatilia sana, haamini watendaji wake"... lakini kama mimi ningekuwa wewe nisinge bet dhidi ya Magufuli...
yani Dr Slaa alivyohamia CCM na wewe kurupu ukahamia magambani!!!
 
Back
Top Bottom