Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

tuliona nuru kwa mbali lakini ghafla nuru ikaanza kupotea taratiibu
 
Hizi zilimpa umaarufu sana kipindi cha mwanzo cha uongozi wake. Watu wakamshangilia wakisema hili ni jeshi la MTU mmoja.

Maofisini watu walikaa chonjo kwa kudhania muda wowote angeweza kuibukia ofisi yoyote ile. Kwa sasa sizisikii tena hadi nimezimiss. Maofisini sasa ni bata.
Washajirekebisha hata akiwashtikiza wamejipanga ,Si unakumbuka enzi za shule ya msingi na zile kelele..
 
Alichobaki nacho ss hv ni kutoa matamshi cjui matamko basi
Leo hiki kesho kile no mvuto tena
 
Kila mtu mimi hapa watu kibao wanamsapoti na wanasema wanasubiria siku hiyo watu kama nyie mjitokeze barabarani mchapwe na wanatama ingeonyeshwa live waangalie wakiwa wametulia majumbani mwao
tulia wewee
 
Kama atafikisha miaka miwili bila kubadilika na kuendeleza huu uDC, sera za kukurupuka na mwendo kasi basi nchi itakuwa katika hali mbaya sana.

Kwa jinsi watu 'walivyomchoka' miezi kumi tu
sijui akifikisha miaka miwili itakuaje?
 
mmmhhhhh!unataka zianze tena hizo ziara?mimi sina hamu na hii habari,suruali zilikua hazikai tena kiunoni ati!!!
 
Watu ''walivyomchoka'' kwa kutumia kigezo cha hisia zako.

Una haki ya kutumia kigezo cha hisia zako kama ilivyo haki ya kuendelea kuwa mjinga.

Hata wajinga wana haki ya kuamua kuwa wajinga pamoja na kwamba ujinga ni mzigo kwa taifa!
Lugha yako inaonyesha ulivyo mweupe kichwani
 
Series lazima iwe na episode mkuu ile ya kushtukiza imepita sasa tuko kwenye episode ya matamko ya utani.
 
Nguvu ya soda ya fanta baridi
Kwa mwenye uwezo wa kufikiria zile ziara zilikuwa mahususi kwa ajili ya kuset pace na agenda ya serikali ya tano. Ila sababu wengi hamuwezi kungamua logic ndogo kama hiyo. Hivi wewe kwa akili yako unadhani Raisi angeweza kwenda kila mahali?
 
Back
Top Bottom