unaniuliza swali ambalo majibu yake nimeshayainisha kwenye post uliyo ni quote. Majibu mengine sina..Kama haiwezekani kwenda kila mahali kwa nini alikwenda mahali fulani. Kigezo cha kwenda alikokwenda na si huko ambako hakwenda kilikuwa ni nini? Jee wale waliofikwa na ziara hizo na matamko kutolewa si watahisi kuwa walikuwa wameonewa?
Umemaliza kutitirika utumbo wako? Au bado?Unaposema wengi unamaanisha akina nani??? By the way hao wengi unao sema hawajui kung'amua mambo na wewe usijua kuandika maneno ya kiswahili ni nani bora????
Huwezi kuandika hata neno "kung'amua" huwezi kuandika hata neno rahisi kabisa la kiswahili "Rais"!!! Sasa wewe na hao ni nani anauwezo mdogo wa kung'amua mambo??[emoji41]
Nilikua nataka kukuuliza swali hilo kabla sijakukumbusha ujifunze kuandika! now nijibuUmemaliza kutitirika utumbo wako? Au bado?
Ni wengi sana waliomchoka huku mitaani.Watu ''walivyomchoka'' kwa kutumia kigezo cha hisia zako.
Una haki ya kutumia kigezo cha hisia zako kama ilivyo haki ya kuendelea kuwa mjinga.
Hata wajinga wana haki ya kuamua kuwa wajinga pamoja na kwamba ujinga ni mzigo kwa taifa!
Mbio za sakafuni huishia ukingoni! Kushtukiza, kutumbua naona kumefika mwisho! Ambalo halitaisha mpaka aondoke ni kuteua kwani kila siku anapanga na kupangua! Pia matamko watajikuta wanatoa matamko juu ya tamko! Hizi zilimpa umaarufu sana kipindi cha mwanzo cha uongozi wake. Watu wakamshangilia wakisema hili ni jeshi la MTU mmoja.
Maofisini watu walikaa chonjo kwa kudhania muda wowote angeweza kuibukia ofisi yoyote ile. Kwa sasa sizisikii tena hadi nimezimiss. Maofisini sasa ni bata.
Ishu ya UKUTA imemchanganya sana Mkuu. Amejikuta anaongea mengi bila kutegemea.
Vichwa vya Chadema wametumia trick hii ili kumpima mkuu ana Busara kiasi gani.
Kwa mimi nahesabu 1-0 kwa Chadema.
Mkuu hakuwa amelitegemea hili kama lingekuja mapema kiasi hichi.
Kuna hoja nyingine inakuja kuhusu washauri wa mkuu, kwa maoni yangu kama anawasikiliza basi awabadili na kama hawasikilizi basi aanze kuwasikiliza.
Nasema hivyo kwa sababu siku zinavyokwenda Chadema watazidi kuwa mbele kwa hiyo Mkuu atakuwa na kazi ya kuwakimbiza nna maana kwamba Chadema watakuwa wanaanzisha movements au mikutano halafu Mkuu badala ya kufanya aliyotuahidi atakuwa anatumia muda wote kuzuia shughuli za Chadema. Kufika 2020 atakuwa hajatimiza aliyotuahidi.
Wito kwa Mkuu:
Umetuahidi mambo mengi wakati wa kampeni, anza kupanga namna utakavyotekeleza ahadi.
Mti wa Rushwa umeupunguza tu Matawi ila shina na mizizi bado imekomaa.
Naomba ukumbuke kama Chadema tunailipa(Kodi zetu = Ruzuku) ili ikuletee ushindani, na bila ushindani wao nchi haiwezi kuendelea, lazima wakukosoe pale unapokosolewa.
Tuliambiwa kama wewe ni Chaguo la Mungu. Je Machaguo ya Mungu yaliopita yalifanyaje kipindi kigumu kama hichi? Kumbuka Yesu alivyokuwa anapigwa mawe je alilipiza? Mtume Musa, Ibrahim na Wengine.
Tafadhali kaa chini na washauri wako mjipange upya, bila hivyo inapoekea hali itakuwa ngumu.
Jamaa siku hizi yuko busy anafanya ziara kwenye majimbo yaliompa kura nyingiHizi zilimpa umaarufu sana kipindi cha mwanzo cha uongozi wake. Watu wakamshangilia wakisema hili ni jeshi la MTU mmoja.
Maofisini watu walikaa chonjo kwa kudhania muda wowote angeweza kuibukia ofisi yoyote ile. Kwa sasa sizisikii tena hadi nimezimiss. Maofisini sasa ni bata.
sisi tunawajua viongozi kwa kuwaangalia tuIlikuwa ni nguvu ya soda.
Swissyou
Kaparamie UKUTA uko. Kila kitu unajifanya unajua wewe.Sie wengine tulisema...hata waliomtangulia walianza vivyo hivyo lakini....
Himawari...!!
Upo mama?
Hapo umenena.Nakubaliana na wewe asilimia 99.9%. Watu wengi hawalielewi hili , ila ukweli ni kwamba, jpm hawezi kupambana na cdm na ukawa kwenye uwanja wa siasa. He has and he is still making the biggest mistake in politics. Kwa sasa cdm na ukawa are so ahead, they continue to earn the trust of the people more and more. Mkuu siasa hawezi hawezi kbs, na team yake ndo hovyo kbs and unfortunately they are so ignorant about so many things.
Mtu ambae atakuja mwokoa huyu mkulu kwa sasa.....ni jk...km atamsikiliza. Huu ni utabiri wangu. Vinginevyo ....he will suffer a heartattack na kale ka pacemaker kake.
Tumemchoka si kidogo......ptuuuuuh
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hicho kiwanda kinafyatua watu au
Nilijua watu wataanza kufyatuliwa kama matofali ndio maana kiwanda kinatumia muda mwingi ili mchakato wa genes mutation usikosewe ,ukashangaa unafyatua mtu sikio ndio mguu wa kutembelea na mkono ndio bandama [emoji38][emoji38]Duh UncleBen umenifanya nicheke sana. Nmeongeza siku za kuishi kirahisi kwel , ni kiwanda cha kutengenezea requirements za kufanyia utafit wa viwanda nchini
Aloo...!! Hivi kumbe upo!?Juzi, jana na leo!