Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

Yaani jamaa siku hizi umechanganyikiwa kweli unaandika uozo kweli, 'walivyomchoka' wewe na mkeo au unamaanisha wakina nani hao
ndio kila mtu amemchoka angalia tu mfano mdogo kwenye sukari mkwara mzito halaf baadaye unatulia tulii Kwa aib Kama maji ya mtungi. Anaona hata aib kuomba aombewe.

Halaf ni wewe na shem pekee yen ndio hamjam choka
 
Pameshakuwa na baraza la mawaziri sasa. Tumia akili kidogo kabla ya kuandika majivu.
 
Jamaa ana pumzi fupi mtu una uwezo wa kukimbia mita 100 unataka kufika elfu 1..
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwa jinsi watu 'walivyomchoka' miezi kumi tu
sijui akifikisha miaka miwili itakuaje?
Msimchoke rais wetu amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama mwenyekiti wa chama tawala Mkuu wa nchi bado miaka Tisa takriban
 
ndio kila mtu amemchoka angalia tu mfano mdogo kwenye sukari mkwara mzito halaf baadaye unatulia tulii Kwa aib Kama maji ya mtungi. Anaona hata aib kuomba aombewe.

Halaf ni wewe na shem pekee yen ndio hamjam choka
Kila mtu mimi hapa watu kibao wanamsapoti na wanasema wanasubiria siku hiyo watu kama nyie mjitokeze barabarani mchapwe na wanatama ingeonyeshwa live waangalie wakiwa wametulia majumbani mwao
 
Au Season I imeisha nini,let get tuned and watch untill the end
 
Hizi zilimpa umaarufu sana kipindi cha mwanzo cha uongozi wake. Watu wakamshangilia wakisema hili ni jeshi la MTU mmoja.

Maofisini watu walikaa chonjo kwa kudhania muda wowote angeweza kuibukia ofisi yoyote ile. Kwa sasa sizisikii tena hadi nimezimiss. Maofisini sasa ni bata.

Hili sasa goli; akiwazukia tena mtaanza kulia "ooh kwanini aje yeye, si awaache watu wa chini yake; anafuatilia sana, haamini watendaji wake"... lakini kama mimi ningekuwa wewe nisinge bet dhidi ya Magufuli...
 
Wewe unapaswa kuwa na aibu na kuacha hata kuni quote ...
ulibisha hapa kuwa bandarini meli hazileti mizigo kama zamani
hadi taarifa rasmi ikatoka kukiri hilo tatizo badala ya hata kuomba radhi
unashupaa tu kutetea pumba humu

Bimafsi nilisha kudharau sana....
Kwanza kunidharau au kutonidharau ni uamuzi wako na tatizo lako.

Pili, siwezi kuacha kujibu hoja ambayo umeileta hapa kwenye open forums hasa kama hoja yako inapotosha umma.

Tatu, Unapoleta uwongo unaosema kwa sasa kunaweza kupita wiki hakuna hata meli moja ya mizigo au mafuta bandarini ni tofauti na kusema kwa sasa kuna upungufu wa meli bandarini.

Hoja yako yenye uwongo niliyoipinga kwa kutumia vielelezo ilikuwa inasema hivi;
Sasa hivi unaambiwa bandarini kunaweza kukakaa wiki nzima hakuna meli inayopakua mzzigo
imagine that....

Hali ni mbaya....watu ni kama hawataki kuamini reality...
Ni lini viongozi wa TPA wamesema kwa sasa kunaweza kukaa wiki nzima hakuna meli inayopakua mizigo.

Sitachoka kuupinga uwongo wako huku nikitumia vielelezo.
 
Kuna mbinu nyingi za kukubaneni wavivu ziara za kushtukiza ni moja tu
 
Hizi zilimpa umaarufu sana kipindi cha mwanzo cha uongozi wake. Watu wakamshangilia wakisema hili ni jeshi la MTU mmoja.

Maofisini watu walikaa chonjo kwa kudhania muda wowote angeweza kuibukia ofisi yoyote ile. Kwa sasa sizisikii tena hadi nimezimiss. Maofisini sasa ni bata.

hapa bongo sio chato, ukileta mchezo wapigwa cha mbavu haaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom