Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,952
Reaction score
5,263
Hizi zilimpa umaarufu sana kipindi cha mwanzo cha uongozi wake. Watu wakamshangilia wakisema hili ni jeshi la MTU mmoja.

Maofisini watu walikaa chonjo kwa kudhania muda wowote angeweza kuibukia ofisi yoyote ile. Kwa sasa sizisikii tena hadi nimezimiss. Maofisini sasa ni bata.
 
hizi zilimpa umaarufu sana kipindi cha mwanzo cha uongozi wake. watu wakamshangilia wakisema hili ni jeshi la MTU mmoja. maofisini watu walikaa chonjo kwa kudhania muda wowote angeweza kuibukia ofisi yoyote ile. kwa sasa sizisikii tena hadi nimezimix. maofisini sasa ni bata

Sie wengine tulisema...hata waliomtangulia walianza vivyo hivyo lakini....
 
1471961403934.jpg
no longer at ease
 
Kwa jinsi watu 'walivyomchoka' miezi kumi tu
sijui akifikisha miaka miwili itakuaje?
Watu ''walivyomchoka'' kwa kutumia kigezo cha hisia zako.

Una haki ya kutumia kigezo cha hisia zako kama ilivyo haki ya kuendelea kuwa mjinga.

Hata wajinga wana haki ya kuamua kuwa wajinga pamoja na kwamba ujinga ni mzigo kwa taifa!
 
hahaha! mbona kachokwa! wewe mwenyewe umemchoka ila hapa unapigania mkono uende kinywani tu kwa zile buku saba
 
Hizi zilimpa umaarufu sana kipindi cha mwanzo cha uongozi wake. Watu wakamshangilia wakisema hili ni jeshi la MTU mmoja. Maofisini watu walikaa chonjo kwa kudhania muda wowote angeweza kuibukia ofisi yoyote ile. Kwa sasa sizisikii tena hadi nimezimiss. Maofisini sasa ni bata.

Tunapambana na UKUTA kwanza.
 
Watu ''walivyomchoka'' kwa kutumia kigezo cha hisia zako.

Una haki ya kutumia kigezo cha hisia zako kama ilivyo haki ya kuendelea kuwa mjinga.

Hata wajinga wana haki ya kuamua kuwa wajinga pamoja na kwamba ujinga ni mzigo kwa taifa!

Wewe unapaswa kuwa na aibu na kuacha hata kuni quote ...
ulibisha hapa kuwa bandarini meli hazileti mizigo kama zamani
hadi taarifa rasmi ikatoka kukiri hilo tatizo badala ya hata kuomba radhi
unashupaa tu kutetea pumba humu

Bimafsi nilisha kudharau sana....
 
Back
Top Bottom