Umeona..haka kamsemo afu kanazidi kuwapa justification wanaume kuzidi kucheat...Wako hakicheat sema my man...wasianze kugeneralize wote.Hahahah kuna statement unazisoma and you can't stop wonder kwa nini wanaume wataendelea kututreat as if wametufanyia favor kutuoa. Unamkuta mke wa ndoa kajikatia tamaa huyo jamani mweeh. Na justification yao siku zote " ooh all men cheat una uhakika gani kama huyo mwingine hatocheat", sio kwa kujipa moyo huko khaa. I cant imagine what are we teachin our daughters, kwamba they should just stick with their abusive partners coz all men are the same? God forbid. Unasema tu my man cheats ila me siondoki, why lying to yaself? Abeg
woteNina marafiki wa kike wengi sana wanaonipenda,nitavunja urafiki na wangapi mkuu?[emoji30] [emoji30] [emoji30]
shemeji naomba lifti namie naenda mjiniIla ukweli usemwe, tu rafiki twa wake tunskuwaga tutamu mnooooo! Mchezoni tunajituma siyo kawaida, hata kwenye mbigiri tunaweza kucheza peku!
Sasa kama mume anauma, ndio mtu amtege.... Kisha amfumanie.... Na ushahidi anao.... Alafu eti anakuja kutuuliza amfanye nini....[emoji34] [emoji34]Mume anauma nyinyi sikieni tu.
Sasa baada ya kukuta ni kweli.....Alitaka kuhakikisha kuwa kile anachohisi ni kweli na amekuta ni kweli
Huyo mjinga Sijui ni mimi... Ha ha haPole mwaya. Kuna mjinga mmoja alinikera. Ngoja niiweke sawa mwaya.
Hahahaa! Laiti ungekuwa wewe nisinge kunyamazia kwa sababu nakumudu.Huyo mjinga Sijui ni mimi... Ha ha ha
We mama huko Kolomije hamjambo?Umemtumia rafiki yako kumfumaniaje tena wakati ulipanga na rafiki yako!?
Unashangaza kama mwanamke, sasa huyo rafiki yako ukikuta kesho amempa penzi analolitaka miaka yote utafanyaje?
Wewe kama mke ulishindwaje kuyamaliza na mume bila kumtumia rafiki yako.
Unajua wqnaume wanajua kujibu kwa visasi, unamlazimisha akubali nini tena wqkati umemfumania kama unavyodai? Umejichemshia maji ya moto.
Natabiri kumeo kufanya ambayo hata hukutegemea, kwanza umemshushia hadhi kwa kumuabisha live, na walivyo na vinyongo eeeeeh
Umeokoa kwa rafiki, subiri kupata wenzakonhata kumi na watoto wake huko nje.
Haya mambo yanataka utumie akili, kwangu mimi umechemka vibaya mno. Ungetumia njia zingine kuyazima hayo anayofanya. Unalo kama unamjua vizuri basi jaribu kujenga na sio kwenda unapiga tarumbeta kila mahala kumsema.
Usisahau kumchunga huyo rafiki yako aliyekubali kutenda mliyotenda, hakutakii mema. Angekuwa anakutakia mema angetumia njia ingine kumuonyesha kuwa amekuambia na hujui leo kaambiwaje kwa hizo dakika chache na labda kapenda ha ha haaaaa
Kila la kheri.
Anauma ndio lakini sio kwa kumtega mwenyewe jamani, pengine huyo shogaake ndo alikuwa anamtaka kweli.... Mie huwa simwamini mtu linapokuja suala la mwanaume wangu kwa kweliMume anauma nyinyi sikieni tu.
Hahah mbona "my man".Umeona..haka kamsemo afu kanazidi kuwapa justification wanaume kuzidi kucheat...Wako hakicheat sema my man...wasianze kugeneralize wote.