Nimemfumania mume wangu live

Nimemfumania mume wangu live

Alitaka kuhakikisha kuwa kile anachohisi ni kweli na amekuta ni kweli
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Poles!!!
 
Pamoja na yote yaliyotokea wewe bado siyo mshindi cha muhimu tafuta mautundu ya kumtuliza mumeo. Kosa unalo wewe mwenyewe.
 
Kuomba msamaha kwa kesi kama hiyo , Jaji anakufunga Maisha!

Huwa tunaomba vya Sms
 
Umemtumia rafiki yako kumfumaniaje tena wakati ulipanga na rafiki yako!?

Unashangaza kama mwanamke, sasa huyo rafiki yako ukikuta kesho amempa penzi analolitaka miaka yote utafanyaje?

Wewe kama mke ulishindwaje kuyamaliza na mume bila kumtumia rafiki yako.

Unajua wqnaume wanajua kujibu kwa visasi, unamlazimisha akubali nini tena wqkati umemfumania kama unavyodai? Umejichemshia maji ya moto.

Natabiri kumeo kufanya ambayo hata hukutegemea, kwanza umemshushia hadhi kwa kumuabisha live, na walivyo na vinyongo eeeeeh

Umeokoa kwa rafiki, subiri kupata wenzakonhata kumi na watoto wake huko nje.


Haya mambo yanataka utumie akili, kwangu mimi umechemka vibaya mno. Ungetumia njia zingine kuyazima hayo anayofanya. Unalo kama unamjua vizuri basi jaribu kujenga na sio kwenda unapiga tarumbeta kila mahala kumsema.

Usisahau kumchunga huyo rafiki yako aliyekubali kutenda mliyotenda, hakutakii mema. Angekuwa anakutakia mema angetumia njia ingine kumuonyesha kuwa amekuambia na hujui leo kaambiwaje kwa hizo dakika chache na labda kapenda ha ha haaaaa

Kila la kheri.
 
Peleka mashitaka kwa wazazi..tatua matatizo kiutuUzima..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom