Nimemfumania mume wangu live

Nimemfumania mume wangu live

Simtetei mtoa mada lkn dunia ya Leo wanaume wamejawa na tamaa tu na ndani anaridhishwa sana tu....
Wanawake wengi siku hizi huwalingishia hadi waume zao. Leo atakwambia hajisikii, kesho nimechoka, kesho kutwa niko kwenye MP nk. Hivi kwa hali hiyo unategemea nini?
 
Chunga sana marafiki kwa ndoa yako,rafiki wa kwanza na wa karibu ni mumeo so share nae chochote sio habari za ndani wapeleka nje yaonekana wafanya hivyo
 
Jamani nimemfumania mumewangu live tena na rafiki yangu amekua akimtongoza huu mwaka wa pili tukaamua kuweka mchongo leo tukamkamata yani asivyo na haya anajitetea huyu rafik yangu ndie kamtongoza huyu mwanaume najiuliza nifanye nini hata msamaha hawezi kuomba
Hatujafundishwa kuomba msamaha direct,ila huwa tunasema "yaliyopita si ndwele tugange yajayo".
 
Sio tuu ubuyu.... nataka tukio zima na umeahidi ukimaliza bia utaendelea na hilo ni tukio lililokutokea kweli.... halafu mie sijawahi kupewaga lifti na wanaume, sijui naanzaje kuomba lifti.....

Malizia basi mwenzio bado nna kiu bin shauku bin nyege.. ...

Nakukumbusha ulipoishia.... baada ya kufungua zipu yako halafu bakora ikatoka iko wima bin imara.... nini kiliendelea? Mwenzio nyegeee
usipaparike...nitakupa lifti siku tumekutana kule mitaani..
 
Wewe na rafik yako muweke mpango wakat wewe unajua ni mbaya na rafiki ni mzur sasa wewe what do you expect?
Kwa kifup ni kuwa huyo rafik yako anataka kuvunja ndoa yenu ili yeye aolewe na hapo ndo utajua mjin bila fitna haiwezekan
 
Inanikumbusha kipindi makamu wa rais wa marekani Dick chen alipomtwanga rafikie risasi wakiwa mawindoni,
jamaa alipopona akaenda kuomba msamaha family ya dick chen kwa kuwasababishia distress..
Na wewe sasa muombe msamaha mmeo kwa kumletea aibu yote hii
 
Vumilia tu best,wanaume ndivyo walivyo. Usiache ndoa yako bure,maana hata ukimwacha huyo utakaye mpata naye atakucheat.
Tatizo linaanza palepale mwanzo unapokutana na mwanaume, kama mnavamiana na wanaume bila kuchunguzana mtaishia kusema kila mwanaume anaCHEAT, wazungu wana principle ya one year best friendz then mahusiano/ndoa bongo tamaa ya pesa, chura, ubeauty na uhandsome etc mtapigwa tu.
 
Asilimia kubwa ya wanaume wa kiafrika kucheat ni asili yao,hata mchunguzane miaka 10! Hilo halina ubishi,ni ukweli mchungu.
 
Asilimia kubwa ya wanaume wa kiafrika kucheat ni asili yao,hata mchunguzane miaka 10! Hilo halina ubishi,ni ukweli mchungu.
Waafrika wamezoea tabia ya kuowa wake wengi... Imo katika genes...
 
Asilimia kubwa ya wanaume wa kiafrika kucheat ni asili yao,hata mchunguzane miaka 10! Hilo halina ubishi,ni ukweli mchungu.
Duniani kote wanacheat sio Africa tu BUT wasiocheat pia wapo tena wengi ila huwezi kuwaona kama una tamaa.
 
haaahaaa yeye mwenyewe alikuwa anamtega tuu huyo rafiki yako ndo maana haombi msamaha kwakuwa Hana kosa
 
Waafrika wamezoea tabia ya kuowa wake wengi... Imo katika genes...
Ni kweli,kinachotuvuruga ni hizi dini zinazomtaka mwanaume aoe mke mmoja(kwa wakristo) na wake wanne (kwa waislam). Hii hali inasababisha wanaume kuwa na michepuko, pia wanawake wengi wanakosa wa kuwaoa hivyo ni rahisi kwao kukubali kuchepuka na waume za watu.
Zamani babu zetu walikuwa wakimpenda mwanamke hawachepuki nae bali wanaoa kabisa.
Kwahiyo huyo mume aliyetegewa mtego na mkewe asingefikia hatua hiyo bali angemuoa tu huyo rafiki wa mkewe na hakuna kesi katika hilo.
 
Duniani kote wanacheat sio Africa tu BUT wasiocheat pia wapo tena wengi ila huwezi kuwaona kama una tamaa.
Issue sio tamaa,haya mambo ni kumuumba tu Mungu. Kuna watu wanaonekana wema machoni mbele za watu ilihali ni, "Simba mwenda pole.........."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom