Nimemfuma member wa JF akirudi mayenu

Nimemfuma member wa JF akirudi mayenu

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,506
000I054YUT4.gif


Natambua wote huyu member mnamjua haswaa wale wa kwenye jukwaa la sihasa.
Alikuwa anakata mayenu baada ya uchaguzi wa lgunga.
 
ahahaa re...........................................................ao ? nini mbona hb sana yule

Bebii bana shauri yako rungu likikushukia usinilalamikie.
 
Huo upara na pua upo kama wa mtu fulani hivi wa kambi ya Magamba!
 
........lol...... Dah!!! Thank you for making my day Fidel80... khaaa!
 
Hahahaha, siku ukinifumania nacheza kiduku itabidi nije na ID mpya.
 
teh teh teh teh, babu kanifurahisha zaidi, anazungusha nyonga si mchezo.
kidole kaweka juu, wimbo ni taarabu???
 
Hahahaha, siku ukinifumania nacheza kiduku itabidi nije na ID mpya.

Hahahaha duhh utakuwa na ID ngapi sasa

teh teh teh teh, babu kanifurahisha zaidi, anazungusha nyonga si mchezo.
kidole kaweka juu, wimbo ni taarabu???

Hahaha hii alikuwa anajimix mara miondoko ya taraabu mara boringo
 
uliwafumia wapi?? au na wewe ulikuwa unayasakata nini??, hahahahah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom