Nimemfuma member wa JF akirudi mayenu

Nimemfuma member wa JF akirudi mayenu

Ebwanaeee..hiyo kitu imetulia!!
Huyu ni memba wa huku ndani kweli?
Basi atakuwa pro flan hivi.
 
000I054YUT4.gif


Natambua wote huyu member mnamjua haswaa wale wa kwenye jukwaa la sihasa.
Alikuwa anakata mayenu baada ya uchaguzi wa lgunga.

Faiza foxy
 
Huyu lazma ni rejao na ff! Hahaha! Mwee! Natania tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom