Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

Baada ya facebook, whatsapp inakuja kasi sana kuvunja mahusiano. Pole sana kijana.
 
la kwako pekee ni kaburi.. mengine tuna share...
5 solid years bila marriage na bado ameshikilia? jionee aibu kidogo joooh...
dont you think anakutafutia mbadala, yani plan B?

Absolutely true
 

naweza kusema pole sana mkuu......... Usiusemee moyo wa mtu........
Hapa dunian usije kumwamin mtu... Hapo mnyama kachinjwa
 
hivi mwanaume unawezaje kuandika au kusema kitu cha namna hii?

najiuliza tu.......

hao wanaume wanaosema hivyo bado wapo aisee, nilishakutana na wawili wa hivyo sikuamini masikio yangu, kitu ambacho kilinichefua zaidi ni kwamba wake zao ninawafahamu na ninawafahamu mabwana zao wa nje.
 
Subiri kwanza mpaka akishakuambukiza Ukimwi ndio umuache.
 
Binti amechoshwa na uchumba sugu wa miaka 5 halafu ww mwenyewe hueleweki wala nia ya kutangaza ndoa huna, sasa alikuwa anatafuta jembe(co worker) litakaloweza kumuweka ndani for good.
 
We vumilia tu mkuu, whatsapp ina mengi. Bora hata wako katuma kavaa chupi, mimi nimeshatumiwa na wake za watu tena wenye ndoa wakiwa uchi kabisa bila nguo. Basi ukikumuka kuwa kavaa pete ya ndoa unapotezea tu kiutuuzima na kupunguza mawasiliono maana mke wa mtu ni sumu. Ila moyoni unabaki kumuonea huruma mume wake.
 
Umekuja kwa busara sana, na nimefurahi kumsamehe kwako, that's the things are supposed to be!!! Wote tunakosea at one point, what to do next ni kumpenda mkeo zaidi
 
Halafu tena alikua mlevi? Lazima walimchapia tuu! (Demu yoyote hawezi kukutumia picha ya chupi kama hujambandua bado)

Kutumiana picha ni kawaida siku hizi ata kama hujambandua
Nenda badoo uko ukajionee mkuu
 
Halafu tena alikua mlevi? Lazima walimchapia tuu! (Demu yoyote hawezi kukutumia picha ya chupi kama hujambandua bado)

Ulevi haukuwa sio extreme..
But it was outta control
 
Ukiona manyoyaa..........!!!!!

Acha tuu mkuu...
Worse thing the conversation niliyo retrieve ilionyesha jamaa anamgangania picha na alikua anamkubali kiaina..sasa sijui ni shetani au ninini
 
Msamehe. Mkumbushane uaminifu. Life liendelee.

Nashukuru sana na ndiyo nataka kufanya hivyo..maana in 5years this is the biggest mistake ashawahi kufanya..
Apo nyuma hakuwahi kunikosea hata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…